Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?
Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni Mwanasheria wa nchi jirani atuunganishie, hali ya kukamata na kupewa kesi ni tete sana haya hatuyawezi hatuja yazoea. tusaidieni.
Huyo mwanasheria asiwe mtego wa kutukamata