Anayejua dawa ya kuroga matapeli

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,938
Nakuja mbele yenu nikiwa na nia thabiti kabisa ya kuwaroga matapeli walionitapeli leo kwenye kibanda changu cha tigopesa pale maeneo ya Kimara.

Wamepiga simu kwa dada wa kibandani na kumdanganya wanafanya setting kumbe wanahamisha pesa, wameondoka na zaidi ya laki 7, nipo tayari kutii mashariti ya mganga ili tu na wao niwaroge, mwenye msaada ya mganga mzuri wa haya mambo anisaidie.
 
Hahhaaaaa mkuuu hasira hasara huwez kumtoa mtu uhai kwa ajili ya laki7 uhai ni mhim zaid ya pesa ila pole sana mkuu mungu atakuzdishia
 
Nakuja mbele yenu nikiwa na nia thabiti kabisa ya kuwaroga mataperi walionitaperi leo kwenye kibanda changu cha tigopesa pale maeneo ya kimara. Wamepiga simu kwa dada wa kibandani na kumdanganya wanafanya setting kumbe wanahamisha pesa, wameondoka na zaidi ya laki 7, nipo tayari kutii mashariti ya mganga ili tu na wao niwaroge, mwenye msaada ya mganga mzuri wa haya mambo anisaidie.
mkuu sali Mungu atafanya njia mkuu
 
Pole sana JEKI wasiliana na mtu wa Zanzibar kama una contact kule njia ya kwenda Chukwani kuna mtaalamu hapo
Zaidi unaweza kukaza roho kabisa ukasemehe na kumwachia Mungu afanye kazi yake
 
Nakuja mbele yenu nikiwa na nia thabiti kabisa ya kuwaroga mataperi walionitaperi leo kwenye kibanda changu cha tigopesa pale maeneo ya kimara. Wamepiga simu kwa dada wa kibandani na kumdanganya wanafanya setting kumbe wanahamisha pesa, wameondoka na zaidi ya laki 7, nipo tayari kutii mashariti ya mganga ili tu na wao niwaroge, mwenye msaada ya mganga mzuri wa haya mambo anisaidie.
mfate PM Mtu mzito akusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom