ANAYEIFAHAMU KIOO COMPANY LIMITED

ANAYEIFAHAMU KIOO COMPANY LIMITED

Ndio staili yao hyo huwa hawasemi position waliyokuitia.
Ila kwa Engineers wenye degree huwa salary yao inacheza arround 1.2M ila sijajua watu wa ofisini wanalipwaje.
Mkuu elezea kidogo interview za uwa zipo kwenye mfumo gani maana dogo kaambiwa aende na peni+passport size
 
Kwa Wale Wahindi Pale Kioo Hawezi Kupewa Mshahara Wa 1.2mil , Sana Sana Anaweza Kupewa 700K .....! Kioo Ni Kampuni No 1 Tz Kwa Utengenezaji Wa Vyupa , Wanapatikana Changombe Industry Area , Washikaji Tuliosomea Nao Masuala Ya Ufundi Wengi Wanapiga Mishe Pale , Interview Yao Maswali Ya Hapa Na Pale Kuhusu Fani Uliyosemea Wakiona Upo Vizuri Wanakupiga Msasa Kama Wiki 2 kuhusu hichu Ambayo Hutaenda Kuifanyia Kazi Ndan Ya Kampuni , Then Unalamba Ajira
 
Naomba email yao mkuu namim nitume cv yangu
 
Kioo company ni kampuni inayoisaidia k vant kutengeneza chupa inapatikana dar es salaam ila sijui mtaa gani
Haisaidii Kvant peke yake inauza sehem nyingi sana,hata TBL pia walikuwa wanauza.
Ila ww Kama upo Arusha huwez kujua sana hii kampuni
 
Kwa Wale Wahindi Pale Kioo Hawezi Kupewa Mshahara Wa 1.2mil , Sana Sana Anaweza Kupewa 700K .....! Kioo Ni Kampuni No 1 Tz Kwa Utengenezaji Wa Vyupa , Wanapatikana Changombe Industry Area , Washikaji Tuliosomea Nao Masuala Ya Ufundi Wengi Wanapiga Mishe Pale , Interview Yao Maswali Ya Hapa Na Pale Kuhusu Fani Uliyosemea Wakiona Upo Vizuri Wanakupiga Msasa Kama Wiki 2 kuhusu hichu Ambayo Hutaenda Kuifanyia Kazi Ndan Ya Kampuni , Then Unalamba Ajira
Mkuu mm nilijua hyo 700k wanapewa watu wa Diploma.
Coz mm nilifanya interview ya Supervisor nikaambiwa salary ni 1.2m.
Kumbe sio wote wanalipwa hyo
 
KIOO TANZANIA LIMITED ile kampuni nimefanya kazi kwa miaka mi tatu nikiwa kama machine operator pale ni rahisi kupata kazi na interview zao ni nyepesi tu.... Ila wale wahindi ni wajinga sana mishahara wanachelewesha sana sana.... Ila ni kampuni inqyotengeneza chupa za glass karibia viwanda vyote vya tz chupa zinatoka hapo kipo temeke shuka vetenary ukifika ukiulizia tu unaonyeshwa... ila muambie ajiamdae mshahara kupata tarehe 40
 
Mishahara yao ipoje mkuu ?
 
Kwani ukisema ni wewe uliyeitwa utakatika miguu au unawaogopa wataona wakumwage?ID yako inakusuta kwa mtu makini anajua ni wewe
 
Hiki ni kiwanda kina husika na utengezaji wa chupa, kilikuwa kina milikiwa na marehemu Chande. Kipo nyuma ya kiwanda cha mabati Alaf, pia kina pakana na kiwanda cha Nondo Kamali Steel.
Kama unapanda daladala shuka kituo cha Vetenary (mapambano) eneo maarufu ambapo wanauza vifaa vya ujenzi hasa mabati ambayo ni reject hapo ni lazima uulize maana kiwanda cha KIOO LTD kipo ndani kidogo.
...umesahau pia kuwa ikiwa si mtu anayeweza kuvumilia ubaguzi wa rangi asithubutu kwenda hata interview. Maana mswahili mwenye elimu sawa na mhindi ataweza kulipwa 300,000 na mhindi akalipwa 2,000,000
 
KIOO TANZANIA LIMITED ile kampuni nimefanya kazi kwa miaka mi tatu nikiwa kama machine operator pale ni rahisi kupata kazi na interview zao ni nyepesi tu.... Ila wale wahindi ni wajinga sana mishahara wanachelewesha sana sana.... Ila ni kampuni inqyotengeneza chupa za glass karibia viwanda vyote vya tz chupa zinatoka hapo kipo temeke shuka vetenary ukifika ukiulizia tu unaonyeshwa... ila muambie ajiamdae mshahara kupata tarehe 40
Mkuu sorry mara ya mwisho ilikuwa lini ulivyoacha kazi pale?au bado unafanya pale?
 
Back
Top Bottom