Msaada: Anayeifahamu TransCargo Tanzania Limited

Msaada: Anayeifahamu TransCargo Tanzania Limited

naomba kazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
253
Reaction score
213
Habarini za jioni hii wana JF

Nimeitwa kwenye interview na hiyo kampuni

Naombeni kujua machache kuhusu hiyo kampuni ili kunijenga kiushawishi kwenye interview kwa position ya 'Tracking Officer'

1. Maswali gani ya kujua kwenye hiyo position kulingana na kampuni husika?

2. Mshahara wao upoje kwenye iyo position?

3. Na mengineyo ya nyongeza kama yapo!

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa

Asanteni na karibuni
 
Back
Top Bottom