King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 71
Ndiyo hivyo vipo unapataNa mbali na mshahara Kuna benefits zingine Kama bima ya afya,mikopo?
Ndiyo hivyo vipo unapataNa mbali na mshahara Kuna benefits zingine Kama bima ya afya,mikopo?
Unakopa kwenye kampuni au benki?Ndiyo hivyo vipo unapata
Laki 2Malipo yao yapoje mkuu?
Mkuu usikariri kwamba kampuni zote mpangilio ni mmoja tu.Navyofahamu mimi, kampuni yoyote inakua na anuani na details...
Ukituma maombi kwa njia ya posta kwenye bahasha lazima ujaze details za kampuni...
Ukienda mwenyewe kupeleka maombi lazima ilipo utakua unapajua...
Ukituma maombi kwa njia ya mtandao, wakikujiba lazima details zao zinatukwepo pia...
Inashangaza sana kwa haya maswali yako...
1) Ipo wapi?
2) Injishugulisha na nini?
3) Interview zao zipoje (Kwani yeye ali apply kazi gani?)
Ndiyo maana mnalalamika ajira hakuna na hamuajiriki kwa mambo madogo kama haya yanawashinda...
Cc: mahondaw
Mkuu usikariri kwamba kampuni zote mpangilio ni mmoja tu.
Sasa kwa taarifa yako hyo kampuni wakitangaza nafasi huwa wanaficha ID ya kampuni na wanatumia email ya private kupokea maombi ya watu.
Ndio maana hata mm siku waliponipigia simu niende kwa interview ilinipa shida sana kukumbuka maana nilituma application kwenye matangazo zaidi ya kumi ila badae niligundua baada ya jamaa yangu kunishtua.
acha stress mkuuPumbav
Niliwauliza mmeniita kwa position gani pia hawakusema walificha,wanakujibu tu kwa shortcut kwamba we ndio ulituma maombi,ulitumaje maombi bila kujuaBaada ya kukupigia simu number yao sii uliipata... kwa nini usiwaulize, hawawezi kukataa kukueleza sababu wamekuita wao...
Cc: mahondaw
Kampuni ipo chang'ombe Dar es salaam. Ukitokea pale kwa sokota (TOTAL FUEL STATION) vuka taa za kuongozea magari, kwa kunyoosha (achana na mandera road we nyoosha), then pale mbele kata kushoto barabara ya vumbi... Mbele zaidi kata kulia na uendelee na barabara hiyo hadi utaona bango la KIOO LIMITEDHabarini za asubuhi,
Mdogo wangu wa kike ameitwa kwenye interview siku ya jumatatu na iyo kampuni
Nataka kujua yafuatayo
Iyo kampuni ipo wapi?
Inajishughulisha na nini?
Interview zao uwa zipoje ?
Na mengineyo ya ziada mwenye kujua basi anijuze zaidi nimfikishie dogo ajipange
Karibuni
Niliwauliza mmeniita kwa position gani pia hawakusema walificha,wanakujibu tu kwa shortcut kwamba we ndio ulituma maombi,ulitumaje maombi bila kujua
Mimi kwa siku natuma application zaidi ya kumi,nitapata wapi huo muda wa kukariri majina ya kampuni.Ni kweli kabisa...
Utatumaaje maombi bila kuweka record ya sehemu ulizotuma na umetuma nini na lini...
Cc: mahondaw
Mimi kwa siku natuma application zaidi ya kumi,nitapata wapi huo muda wa kukariri majina ya kampuni.
Inamaanisha kwa mwezi natuma applications zaidi ya mia mbili.
Utakariri kampuni zote mia mbili kichwani si lazima kichwa kipasuke mzee.
It is meaningless kukariri kampuni ambazo you are not sure Kama watakuita.Kama wewe mwenyewe unshindwa kua na mbinu za kuji organize hizo kazi za watu uta manage vipi?
Hifadhi kwenye computer... andaa excel sheet yako... weka taarifa zako humo...
Hata ukija kutafutwa baada ya miaka miwili huko, unarudi kwenye kumbukumbu zako kuangalia...
Cc: mahondaw
Inawezekana anataka atume maombiNavyofahamu mimi, kampuni yoyote inakua na anuani na details...
Ukituma maombi kwa njia ya posta kwenye bahasha lazima ujaze details za kampuni...
Ukienda mwenyewe kupeleka maombi lazima ilipo utakua unapajua...
Ukituma maombi kwa njia ya mtandao, wakikujiba lazima details zao zinatukwepo pia...
Inashangaza sana kwa haya maswali yako...
1) Ipo wapi?
2) Injishugulisha na nini?
3) Interview zao zipoje (Kwani yeye ali apply kazi gani?)
Ndiyo maana mnalalamika ajira hakuna na hamuajiriki kwa mambo madogo kama haya yanawashinda...
Cc: mahondaw