Anayehitaji nguvu kazi niko hapa

Anayehitaji nguvu kazi niko hapa

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
1,709
Reaction score
4,508
Wakuu kutokana na maisha kuwa magumu, nimefikiria kulima bustani ya mbogamboga; bamia, mchicha, matembele, sukuma wiki, chainizi n.k.

Changamoto sina eneo wala vitendea kazi, bomba la kupigia dawa, maji, eneo n.k, kwahiyo kwa mtu mwenye uwezo naomba anisaidie kwa hilo au kama kuna namna tunaweza kufanya.

Mimi naishi Dar es Salaam.
 
wakubwa plan yangu ilikuwa kulima bustani ila kama kuna kazi yoyote niko tayari. ,malipo iwe kwa siku wiki au mwezi
 
Wakuu kutokana na maisha kuwa magumu, nimefikiria kulima bustani ya mbogamboga; bamia, mchicha, matembele, sukuma wiki, chainizi n.k.

Changamoto sina eneo wala vitendea kazi, bomba la kupigia dawa, maji, eneo n.k, kwahiyo kwa mtu mwenye uwezo naomba anisaidie kwa hilo au kama kuna namna tunaweza kufanya.

Mimi naishi Dar es Salaam.
Mkoani unaweza kwenda?
Mboga mboga utalina kuongiza pesa kidogo ila titakuwa na mmea wa kulima na mavuno ni baada ya miezi 3 then unasafirishwa nje ya nchi malipo mpaka mavuno ila chakula utapewa
 
mkoa niko tayari mkuu kama tukikubaliana
 
Mkoani unaweza kwenda?
Mboga mboga utalina kuongiza pesa kidogo ila titakuwa na mmea wa kulima na mavuno ni baada ya miezi 3 then unasafirishwa nje ya nchi malipo mpaka mavuno ila chakula utapewa
naona umefunga pm
 
Back
Top Bottom