Street verified
New Member
- Apr 8, 2023
- 2
- 54
Naitwa M ni mwajiriwa wa kampuni X inayojihusisha na maswala ya kilimo niko hapa natafuta kaz mahali pengine
Mahal nilipo kwa sasa changamoto zmekuwa nying sana kwa uongoz wa kampuni nmejitahid ila ninaona napoteza muda wangu:
Baadhi ya changamoto:
1. Baadhi ya viongoz kuingilia kaz mfano kukupangia ratiba za shamba km vile upigaji wa dawa, kuweka mbolea n.k wakati hapo awali vitu hv vilikuwa vinafanywa na bwanashamba.
2. Uchelewashaji wa mshahara kwa mfano mshahara wa mwez wa 3 had leo sijapata.
3. Kupunguza mshahara pasipo sababu za msingi.
Nmefanya kaz kampuni hii zaid ya miez 18 hapo mwanzo mambo yalikuwa mazur ila kwa sasa ninaona mambo yanakuwa magumu nahitaji changamoto mahali kwingne.
Elimu yangu ni Diploma ya agriculture production,ninahitaji kufanya kaz mahal ambapo nitapewa uhuru wa kufanya kaz zangu za ubwana shamba au mifugo pasipo kuingiliwa(nakubali kushauriwa)