barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 150
- Thread starter
- #21
kumbe anajua?Kuna wadau watasema amebebwa sana na kyle jenner.
kumbe anajua?Kuna wadau watasema amebebwa sana na kyle jenner.
Yes,anajua IMO.kumbe anajua?
itakuwa kali hiyo kila mdau kaitaja...Huwa najifungia gheto nakula zangu vitu nalewa huku mziki mzito kama Highest in the room naruka majoka..stress za nini bhana aisee.
Hapana, jamaa nimeanza kumsikiliza 2012 enzi hizo alikuwa moto sana, sasa hivi naona amebranch out kwenda mainstream sound.Kuna wadau watasema amebebwa sana na kyle jenner.
Dah mdau heshima yako kumbe jamaa motoooHapana, jamaa nimeanza kumsikiliza 2012 enzi hizo alikuwa moto sana, sasa hivi naona amebranch out kwenda mainstream sound.
Mwaka 2013 alitoa mixtape rasmi ya Owl Pharaoh kuna vibao vikali mule ndani kama Upper Echelon (akiwa na T.I. na 2 Chainz) Dance on the Moon, Hell of a Night, Uptown (akiwa na A$AP Ferg).
Mwaka 2014 akarelease Days Before Rodeo, humo ndani ndiyo balaa nadhani hii ndiyo project kali zaidi kutoka kwake. Kulikuwa na vibao kama The Prayer, Mamacita (akiwa na Rich Homie Quan na YoungThug), Drugs You Should Try, Skyfall (akiwa na Young Thug) kiufupi hii tape ilikuwa na no misses.
Mwaka 2015 akaachia album ya Rodeo. Huko nako kuna vibao vikali sana. Na hii album ndiyo ilisolidify jina lake kwenye game. Hapo kumbuka hajakutana na Kylie Jenner bado. Kylie Jenner amekuja kukutana na Travis Scott akiwa ameshakuwa popular sana.
Kwa kuongezea:
Nachomkubali jamaa amefanya kazi waandaaji wa muziki wenye vipaji lukuki throughtout his career. Kama Mike Dean, DJ Dahi, Metro Boomin, Lex Luger, Fki, Allen Ritter, JGramm Beats, Zaytoven n.k.
Jamaa yupo vizuri sana, ingawa amebadili sound yake sana, ukisikiliza mixtape za kwanza utaona alivyokuwa raw kimashairi.Dah mdau heshima yako kumbe jamaa motooo
kwann mzeDuh..!! Nazeeka nini!??
Siwajui kabisa hao jamaa..kwann mze
🙌Msikilize mwana uyo anajua kinyama ngoma kama..
Butterfly effect(Obama fav song)
Antidote
Sickomode
Stop trying to be God
Yosemite
Goosebumps na mkali kendrick
Franchise
Astrothunder
Pick up the phone
Drugs you should try
Can't say
Highest in the room Etc..
Pia anaumoja na Quavo huncho kwa pamoja wanaajiita HunchoJack yaan yy huncho-Quavo na Jack yy katoa Kwny jina lake la Jacques ngoma zao ni kama..
Where you from
HunchoJack
Saint laurent Mask
Moon rock etc..
Travis scott pia ana label inaitwa cactus jack anasimamia vijana kama 6 hv kwenye clue yao kuna jamaa anaitwa Don Toliver anajua kichizi anangoma kama..
Lemonade
Diva
His & her etc..
Pia kuna ngoma wamefanya kwa pamoja Jackboys(Travis+Don Toliver) ngoma kama...
Outwest
What to do etc..