Mkuu hebu funguka zaidi unataka ukafanye kazi za aina gani?Yaani kazi za professional (fani gani?) au Kama kibarua?Kama kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, wale wa kutafta maisha.
nina mpango wa kujidunga uarabuni hasa hasa kuwait au qatar, kama kuna anaemfahamu agent yoyote, aje pm anipe no. au kama hatojari bas hapa hapa.
Yaani kazi yoyote ilmradi halali na inayoniingizia kipato, bas kama kuna agent matata, naomba mawasiliano nae.
wakuu, nawasilisha kwenu
yaani mkuu, natamani nipate connection hasa, na mwaka 2021, naweza kwenda maana tiari ntakua nmemalza degree, naweza kufanya kwa professional au kibarua, yaani vyovyote tu.Mkuu hebu funguka zaidi unataka ukafanye kazi za aina gani?Yaani kazi za professional (fani gani?) au Kama kibarua?
Ukinijibu nitapata kitu Cha kukushauri.
Good point mkuu, bora umshauri kulingana na jambo analotaka kulifanya hukoMkuu hebu funguka zaidi unataka ukafanye kazi za aina gani?Yaani kazi za professional (fani gani?) au Kama kibarua?
Ukinijibu nitapata kitu Cha kukushauri.