Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Kama kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, wale wa kutafta maisha.

nina mpango wa kujidunga uarabuni hasa hasa kuwait au qatar, kama kuna anaemfahamu agent yoyote, aje pm anipe no. au kama hatojari bas hapa hapa.

Yaani kazi yoyote ilmradi halali na inayoniingizia kipato, bas kama kuna agent matata, naomba mawasiliano nae.

wakuu, nawasilisha kwenu
 
Mi nakushauri acha kabisa mpango wa kwenda au kushaeishi mtu aende uarabuni kwa lengo la ajira. Labda uende kuchukua mzigo wa biashara urudi. Sio salama uarabuni.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, wale wa kutafta maisha.

nina mpango wa kujidunga uarabuni hasa hasa kuwait au qatar, kama kuna anaemfahamu agent yoyote, aje pm anipe no. au kama hatojari bas hapa hapa.

Yaani kazi yoyote ilmradi halali na inayoniingizia kipato, bas kama kuna agent matata, naomba mawasiliano nae.

wakuu, nawasilisha kwenu
Mkuu hebu funguka zaidi unataka ukafanye kazi za aina gani?Yaani kazi za professional (fani gani?) au Kama kibarua?
Ukinijibu nitapata kitu Cha kukushauri.
 
yaani mkuu, natamani nipate connection hasa, na mwaka 2021, naweza kwenda maana tiari ntakua nmemalza degree, naweza kufanya kwa professional au kibarua, yaani vyovyote tu.

ila professional inaweza nikuta tiari nina kibarua
 
Mkuu hebu funguka zaidi unataka ukafanye kazi za aina gani?Yaani kazi za professional (fani gani?) au Kama kibarua?
Ukinijibu nitapata kitu Cha kukushauri.
Good point mkuu, bora umshauri kulingana na jambo analotaka kulifanya huko
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom