Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

Kwanini wasituwekee vyeti hivyo mubashara hapa hapa JF?
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Wamechanganyikiwa hawajui pa kupeleka UNGA wao wanalia lia na MAKONDA tu.sasa subiri wakutwe nao ndani maana vita hii aliyoanzisha huyu bw. Ndogo si mchezo.
 
Kwani yule aliyekuwa WAZIRI wa"Tanzania is the union of Zimbavwe and the isles of Pemba"si aliendwlea na muhusika nae akawa anaendelea?
Pia kulikuwa na LECTURER mmoja alishakuwa na Phd lakini hapo katikati form four na six ali-cook,mbona pia alitumbuliwa na alikuwa na vyeti ambavyo pia muhusika aliendele?
 
Daudi bana! Unaweza kutumia siku nzima kuandika ujinga badala ungescan vyeti tu kwa dakika tano.
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Mkuu wewe siyo , tunamtaka aliyempa Makonda cheti , tena tunamtaka akiwa hai , wewe umejipendekeza tu .
 
Hii issue kama Magufuli hataichukulia uzito unaotakiwa, tuendako atakwama sana hakuna atakaye muamini. ataonekana analinda watu wa kabila lake, pia kuwa mkuki kwa nguruwe.
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
too late nadhani!!!!!
 
Hata awe nani hawezi kukubali kuwa eti nilimpa cheti...!
 
Hiki Chama cha akina Wema Sepetu wanaishi kwa matukio sana ambayo mengi hayadumu hata wiki. Sasa sijui 2020 wata-replay yooote ili kuwakumbusha wapigakura!!
Hapo ndo mungu alipokosea kutuhumba sisi watanzania ni wepesi kusahau hata mambo ya msingi
 
Gujalati, wewe unamsemea huyu bwana kwa mamlaka gani uliyokazimishwa? Naamini mamlaka husika zipo kazini kutuletea walichokigundua. Usifanye kazi ya kupulizia uvundo marashi. Tusubiri muda utatupa ukweli kuhusu hili.
Na kusema kawashika pabaya wazee wa ngada unajidanganya kwani mzigo upon kitaa Kama kawa na huenda aliwahifadhi wahusika ili wauze mzigo wao kwani hatujasikia kama kuna wakubwa waliokamatwa na mzigo.
Hatukatai kuwa unga ni mbaya Bali namna vita hii ilivyogubikwa na usanii mwingi. Laiti angepigana kimyakimya na kitaalamu angewanasa usiowafikiria waliopo serikalini.
 
Filamu za uongo zimeanza

PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI na PAUL CHRISTIAN MUYENGE ni majina tofauti. Wa kwako na huyu anayetajwa ni watu wawili tofauti
 
Back
Top Bottom