Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

Hii Uzi ni wazamani umejaribu kuleta tu upya.
Pia aliyempa makonda cheti alipata dv 3 point 25 na si 1 kama unavyotaka kutudanganya.
Toaaa vyetiiiii Bashite Daudi
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
*****
"URAIA WAKE UCHUNGUZWE"
HATUNA PIERRE TANZANIA""[ / b]
 
Hili andiko lilikuepo hapa JF tangu mwaka jana.......Jipangeni upya. #DaudiAlbertBashite-DAB.
 
Kwahiyo alinunua cheti cha divisheni 1 alafu akaenda kuanza na Certificate?
 
Mwenye vyeti aliyejinadi hapo mtandaoni nae hana uhakika wowote.
 
Masikini....huu ujinga ni bora ungeuandika fesibuku...acha kuidhalilisha jf kwa utetezi wa kipuuzi kiasi hiki cha mwendo kasi
 
Utoto wa Daudi Albert Bashite Paul Christian Muyenge Makonda...
Ana jina refu kama treni!!
 
Ni kawaida sana kwa watanzania kucheza ngoma wasioijua na ni maarufu sana wa kudandia hoja,kimbelembele hiki tungekifanya katika maendeleo nadhani hata china wangesubiri!!!
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Na ilibidi atafuatiliwa na kama kweli aliuza cheti alafu bado anaendelea kukitumia basi naye atakuwa na msala
 
Ukimya wa Makonda katika suala la cheti akifungua kinywa chake litaumbua watu wengi sana.

Bahati mbaya hakuna mtu aliyejisumbua kufanya utafiti kubaini ukweli. Hakuna waandishi wa habari za uchunguzi waliojitokeza kufanya utafiti wao.

Makonda ni kijana wa juzi tu hapa inawashinda nini kwenda Nyamagana alipozaliwa na kufanya upelelezi wenu kuanzia shule aliposoma shule ya msingi na sekondari mtapata ukweli.

Kwani Makonda kasomea mbingu nyingine? Si hapahapa duniani? Iweje mshindwe kwenda huko kuhoji walimu wake? Wanafunzi aliosoma nao na kuja na uthibitisho uliojawa na tafiti?

Hili suala linakuzwa na wauza dawa za kulevya na vibaraka wao...bahati mbaya ktk kipindi ambacho vita ya dawa za kulevya imeshika kasi.

Watanzania tumekuwa watu wa kujadili mapokeo ambayo hatuyatathmini na kubaini ukweli....leo JF imekuwa jukwaa la mapokeo na kujadili bila hata kufanya utafiti. Ni aibu.

Ukiona watu wazima wanajadili jambo dogo ambalo wanaweza kupata majibu kirahisi jua nia ni nyingine ama kumchafua mtu au kuzuia vita dhidi ya dawa za kulevya isiendelee.

Nimwambie kijana mwenzangu Makonda awaache waonge weeee halafu badae kabisa ambapo watu wabaya dhidi yake wameishajipambanua awajibu. Najua majibu anayo ila hataki kuingia kwenye njadala huo sasa kwakuwa nia yake ya mjadala huu sio njema na haina tija kwa taifa. Chadema na vibaraka wenu mtaumbuka sana....kuweni na akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom