Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

Hivi kama ni uongo na mtu hajatumia cheti cha magumashi si ajitokeze aweke mambo wazi hii ishu iishe ili tumuunge mkono vizuri kwenye ishu ya ngada.Please Daudi Bashite come on man!!! Take heart be a man
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Je! Umelipwa ngapi kukanusha hiyo kitu?
 
Hiki Chama cha akina Wema Sepetu wanaishi kwa matukio sana ambayo mengi hayadumu hata wiki. Sasa sijui 2020 wata-replay yooote ili kuwakumbusha wapigakura!!
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Hatukutaki wewe. Tunamhitaji BASHITE aje kudadavua mwanzo-Mwisho acha maneno.
 
Hivi kama ni uongo na mtu hajatumia cheti cha magumashi si ajitokeze aweke mambo wazi hii ishu iishe ili tumuunge mkono vizuri kwenye ishu ya ngada.Please Daudi Bashite come on man!!! Take heart be a man
We mwehu kweli unafikili makonda ni mtoto kama kila wanalosema ajitokeze kujibizana na wauza unga si ataonekana mwehu. Ukimwa ni jibu kubwa kwa mwenye busara
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
Kama huna kazi kalale akili ikue hatutaki uchochezi
 
Hii habari ilishaletwa hapa siku nyingi. Naons mleta uzi kaenda kuifunyua huko na kuirudisha km utetexi kwa Mako. Mlets mada, kinachoongelea sasa ni new revelation navdetailed account ya elimu ya Makonda, Huyu Christian Pierre Kagenzi hsjatwa mahali popote kwenye new revelation about Mako's education!
 
Makonda kaza hapo hapo bado kidogo wakimbie nchi. Umewashika babaya mno kila mtu Amalia hajui afanye nini. Kumbe nchi ilikuwa imeshikwa hivi na wauza unga. Ndiyo mana pinda aliwahi kusema ukiwagusa nchi itayumba. Makonda big up nchi nzima imepagawa kwani wote wanahamia upinzani sasa nakushauri uwafate hukohuko ulisema hakuna jiwe litakalosalia huu ya jiwe.

Usitishwe na kelele hizi za akina mbowe na henge lake soon watapotea.
Siku moja moja mjikumbushe kuwa Watanzania wa leo wamebadilika. Itawasaidia kuweka mikakati mipya.
 
Teh teh......kazi kweli kweli, mambo mengine mkuu wetu yupo mbele sana kuzungumza. Kwanini hili akae kimya sana!!!!?
 
We mwehu kweli unafikili makonda ni mtoto kama kila wanalosema ajitokeze kujibizana na wauza unga si ataonekana mwehu. Ukimwa ni jibu kubwa kwa mwenye busara
Hili wala haihitaji busara. Ningekuwa mm ningesema linahitaji hekima ya kujua nini cha kufanya ili uachane na kadhia uendelee kuchapa kazi.
 
Back
Top Bottom