Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,209
- 42,071
Bora wewe umekubali kuwa kuna mabaya mlio yafanya tena mengi sana! Sababu ukilinga nisha hayo maendeleo na miaka 50 ya uhuru ni vitu viwili tofauti.
Lakini mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni mimi na kubali kuna maendeleo yaliyo fanywa nami na shukuru kwa hilo mfano huu mpango wa kupunguza folleni jijini.
Lakini tufikie wakati tukubali chama chenu kimezeeka na ni wakati wa chama hiki kupumzika maana maendeleo hayaendani kabisa na ahadi za hiki chama toka tupate uhuru.
Kwa hiyo naomba mukubali kupumzika kwa amani tuu mwaka 2015 ukifika, tuna washukuru sna lakini pumzikeni mmechoka!

Mtu mwenye akili timamu kabisa atajua kwa sasa maendeleo yanasonga mbele. laikini mtu mshabiki wa chama fulani hata ufanyeje atashabikia chama chake tu.
Ifike mahali tukubali kama serikali imefanya kitu kizuri. Yapo mabaya sawa lakini kwenye mazuri tuwasifu.
Wewe ukiwa mtu wa kulaum laumu kila wakati baadaye utaonekana mjinga, watu watakuzoea.
Viongozi wetu wanahitaji pongezi. Wewe unayebeza haya maendeleo nadhani hutakii mema nchi yetu. au wewe sio mtanzania unalengo lako binafsi.