Anayebeza haya maendeleo basi hana nia njema na nchi yetu.

mkimbizi!!!.......what an insult.......

Is being a woman an Insult???? We have moms and sisters please let's respect them
Back to the topic Nape boys at work!!!!!! what has been written is just a rubbish
 
Katika historia ya nchi hii kwa mara ya kwanza chumvi imepanda bei maradufu wakati wa awamu ya baba mwanaasha. Nayo ni maendeleo ambayo hayatakiwi kubezwa.
 
Kaka kwa kweli sijakuelewa mimi nimesema ninacho kiona kwa macho yangu. Na toilet peper sijajua una maana gani.

5. Kupitiwa kwa mikataba mbalimbali: Mikataba mbalimbali ambayo ni mibovu inapitiwa na kurekebishwa. Mikataba ya madini na na mingine mingi tu.

Mimi umenifurahisha apo kwenye "... na mingine mingi tu" IPI?
 
Mtu mwenye akili timamu kabisa atajua kwa sasa maendeleo yanasonga mbele. laikini mtu mshabiki wa chama fulani hata ufanyeje atashabikia chama chake tu.

Ifike mahali tukubali kama serikali imefanya kitu kizuri. Yapo mabaya sawa lakini kwenye mazuri tuwasifu.
Wewe ukiwa mtu wa kulaum laumu kila wakati baadaye utaonekana mjinga, watu watakuzoea.

Viongozi wetu wanahitaji pongezi. Wewe unayebeza haya maendeleo nadhani hutakii mema nchi yetu. au wewe sio mtanzania unalengo lako binafsi.
 
Rekebisho mimi sio dada ni kaka. Halafu sijaongelea reli ya kati nimeongelea reli ta TANZARA sawa mtu wangu?

Mwambie aliyekutuma hivi, suala sio nini kimenunuliwa, suala ni KIASI GANI KIMETUMIKA KUNUNUA NINI. Rasilimali za nchi zinazokuwa exploited na wageni hazilingani na tu-maendeleo twa misaada ulikotumwa kutuambia.

Kununua suruali mpya sio maendeleo dada.
 
5. Kupitiwa kwa mikataba mbalimbali: Mikataba mbalimbali ambayo ni mibovu inapitiwa na kurekebishwa. Mikataba ya madini na na mingine mingi tu.

Mimi umenifurahisha apo kwenye "... na mingine mingi tu" IPI?
Mikataba ya umiliki wa ardhi, mikataba ya vitaru nk..
 
Pamoja na hivyo vimaendeleo kiduchu kwa miaka yote 50! MMESAHAU DENI LOTE LA TAIFA LIMELIPWA!
 
Mwambie aliyekutuma hivi, suala sio nini kimenunuliwa, suala ni KIASI GANI KIMETUMIKA KUNUNUA NINI. Rasilimali za nchi zinazokuwa exploited na wageni hazilingani na tu-maendeleo twa misaada ulikotumwa kutuambia.

Kununua suruali mpya sio maendeleo dada.
Wewe unapoendelea kuniita dada wakati nimekuambia mimi ni ME unamanisha wewe ni mgomvi. Pia nimekueleza mikataba mingi inarekebishwa. Maendeleo sio kama sinia la wali linaletwa na kutengwa na unaitwa basi tule wote. "Development is a process" Na hii process nimeipenda ambayo serikali inaionesha sawa?
 
Wanao beza ni wale wenye macho lakini hawaoni kutokana na shuka la uchadema limeziba nyuso zao. Haya maendeleo ni sumu kwao, kila jema linalo fanyika linarudisha nyuma ndoto zao.
 
Tuliona jinsi cdm walivyo shabikia migogoro ya madaktari utasema wao hawana ndugu wanao ugua.
 
Annael, kinachoangaliwa hapa sio final product on its own, bali what took us to get there. Kwa rasilimali tulizonazo, na ukubwa na deni la taifa, tulitakiwa tuwe mbali kabisa na sio hivyo viji miradi ya kuku.

Daraja la Kigamboni kama umegundua ni tofauti na ilivyokuwa imepangwa. They've gone for a very cheaper daraja. Ukija kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi, kama kumbukumbu zangu ni sahihi mwaka jana tulioneshwa aina ya mabasi yatakayotumika - ni viji-bus vya TATA - daladala like. Sielewi kwanini hawakufikiria kuweka 'Trams'?

Hela zipo (Swiss) na bado tunaendelea kukopa. For what? Kukarabative Locomotive Trains kwenda Kigoma?

Kuzuru TAZARA, Tanzania tunachangia kiasi gani kukarabati? Another humialiation, baada ya miaka yote bado tumeenda kuwaangukia wachina watusaidie kuikarabati! Na hiyo hospitali ya kimataifa unasema inajengwa, unajua nani anafadhili huo ujenzi, na amepata nini in return?

FJM,
Naona kiwanda chako kipya kimekamilika lini uzinduzi?
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada, jiulize, katika miaka hiyo 50 ndo hiki tunachostahili????????????????????? kabla hujaanza kushangilia!
 
Back
Top Bottom