Anayebeba SIWA bungeni 2016 anaitwa nani?

Anayebeba SIWA bungeni 2016 anaitwa nani?

Mkuu hii ni jf bhana mijitu ya humu inaakili zaidi ya wazungu.
 
JINA: ALPHONCE JULIUS MWAKALINGA
KABILA: MHEHE/MUHEHE
KARIBU.
 
Mi nataka kujua analipwa sh ngapi, make kubeba vile hata mtoto wa shule ya msingi anabeba.
 
Mbeba siwa kwa kiswahili na kwa kingereza ni Sergeant-At-Arms
 
Back
Top Bottom