Anayebeba SIWA bungeni 2016 anaitwa nani?

Cnkwabi

Member
Sep 9, 2012
97
22
Habari zenu ndugu zangu,

Siku zote aulizae ataka kujua, naomba kuuliza hivi anaebeba SIWA bungeni mwaka 2016 anaitwa nani na ni mwenyeji wa wapi.

Asanteni
 
Kwenye kuuliza anaitwa nani Nilikuelewa vzr lkn ulipofikia kwenye ni mwenyeji wa wapi Nimeanza kupata shida na andiko lako. Vp unataka kumtambikia?
 
Jamani kwani hili jukwaa la jokes??! mambo mengine tujiongeze na kujistiri upumbavu wetu.....mtu anauliza ataka kufahamu watu mnaleta ushoga wenu aaargh!
 
Back
Top Bottom