teamleader
Senior Member
- Nov 27, 2015
- 150
- 66
Kwani wewe inakuuma nini, mwanaume kuwa na elimu ya chuo kikuu, Au wewe ni wale wa elimu za hapa na pale...na wewe ati umeenda chuo kikuu
Kwani wewe inakuuma nini, mwanaume kuwa na elimu ya chuo kikuu, Au wewe ni wale wa elimu za hapa na pale...na wewe ati umeenda chuo kikuu
Tell them buddy.Hadi inaleta kinyaa.Jamani kwani hili jukwaa la jokes??! mambo mengine tujiongeze na kujistiri upumbavu wetu.....mtu anauliza ataka kufahamu watu mnaleta ushoga wenu aaargh!
Habari zenu ndugu zangu,
Siku zote aulizae ataka kujua, naomba kuuliza hivi anaebeba SIWA bungeni mwaka 2016 anaitwa nani na ni mwenyeji wa wapi.
Asanteni
Tell them buddy.Hadi inaleta kinyaa.
Sargent Antams kama skosei
haya bhana ila mimi nilihitaji kujua jina lake na si jukumu analofanya
Jf kuna kitu kitaletwa watu wasiwe na utani ?? Wewe kama mada ya kifo ina utani ndio ije kuwa hii ???Jamani kwani hili jukwaa la jokes??! mambo mengine tujiongeze na kujistiri upumbavu wetu.....mtu anauliza ataka kufahamu watu mnaleta ushoga wenu aaargh!
Somo la uraia linahusuMkuu inaandikwa Sergeant at Arms.
Habari zenu ndugu zangu,
Siku zote aulizae ataka kujua, naomba kuuliza hivi anaebeba SIWA bungeni mwaka 2016 anaitwa nani na ni mwenyeji wa wapi.
Asanteni
Jf kuna kitu kitaletwa watu wasiwe na utani ?? Wewe kama mada ya kifo ina utani ndio ije kuwa hii ???
Anaitwa mwaipumbuje mwaitakotako mwenyeji wa busokelo tukuyu mbeya . Una swali jingine?Habari zenu ndugu zangu,
Siku zote aulizae ataka kujua, naomba kuuliza hivi anaebeba SIWA bungeni mwaka 2016 anaitwa nani na ni mwenyeji wa wapi.
Asanteni
anaitwa Sewa Haji
Hahahaha..... Seriously?????Anaitwa mwaipumbuje mwaitakotako mwenyeji wa busokelo tukuyu mbeya . Una swali jingine?