Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,052
MJ1,ya nini yote hayo? amchukulie Rb tu,mzee ,if found guilty,atavuta mvua 30.Nina uhakika huyo binti huwa anajisikia vibaya mara anapomalizana na baba yake. huyo baba firauni laakum mjaa laana.
Binti anatakiwa awe na nia na msimamo wa kumwacha huyo baba kwanza ahame hiyo nyumba alopangishiwa /wekwa kimada na babake kisha arudishe vyovyote alivyopewa kwa jina la mapenzi kisha amweleze its over akigoma naye amtishie atamlipua kwa wazee au ndugu zake.