Anatembea na babake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatembea na babake!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sammie, May 13, 2010.

 1. s

  sammie Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna binti anatoka na babaye, anadai "dingiye" aliomba aonje malezi yake eti naye alikubali. Sasa hivi analelewa na"dingiye" kama nyumba ndogo. Baada ya watu kumsema sana anaomba ushauri mimi. Wana JF naomba mnisaidie nimwambie nini huyu "shosti".:glasses-nerdy::mad2::eyeroll2:
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Incest!

  Wewe unaombwa ushauri gani hapo na alishamkubalia Baba yake!

  Mwambie asubiri moto wa milele na laana juu ya maisha yake!

  Yupo mwingine mitaa ya external hapo Dar, namfahamu ambaye baadaye alikuja olewa kama mke wa pili; inasemekana mpaka mtoto wa kwanza si wa mume ni wa huyo dingi!
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nipe contacts zake, nina tiba nzuri sana ya kisaikolojia!
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mwambie aaachane na uchafu huo, amrudie Mungu naye atamsamehe kwasababu Mungu anasamehe dhambi zote hata kama ni nyekundu kama damu. lakini kam ahatafanya hivyo, mwambie laana na aibu kubwa iko mbele yake, na moto wa jehanum juu. only animals can do that, wanadamu wanaofanya hivyo tuwaeleweje?
   
 5. s

  sammie Member

  #5
  May 13, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anadai dingi kamwambia akithubutu kumuacha atamuua.
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Akafungue kesi polisi na kumwambia mama yake! cjui Mama yupo hai ama alishajifia kwa presha!
   
 7. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ana umri gani? Na je bado anaishi na baba yake? Hawezi kumuua, hivyo ni vitisho tu! Au naye kama kanogewa aseme siyo kutoa visingizio. Halafu ilikuwaje akakubali kirahisi namna hiyo kutembea na baba yake mzazi? Huyo baba ana watoto wangapi wa kike na ana wake wangapi? Maswali mengi sana najiuliza sipati jibu.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  May 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nina uhakika huyo binti huwa anajisikia vibaya mara anapomalizana na baba yake. huyo baba firauni laakum mjaa laana.

  Binti anatakiwa awe na nia na msimamo wa kumwacha huyo baba kwanza ahame hiyo nyumba alopangishiwa /wekwa kimada na babake kisha arudishe vyovyote alivyopewa kwa jina la mapenzi kisha amweleze its over akigoma naye amtishie atamlipua kwa wazee au ndugu zake.
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Yaani hadi leo hujamwambia kuwa hiyo ni incest na ni dhambi ya mauti? Watu wengine bana, ushauri, ushauri hata kwa vitu visivyohitaji ushauri.
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kamanda, usishangae pengine mdingi umepima dna umeona kwamba hako kamtoto sio wake ndio kanafanya hayo, but kwa hali yoyote iwayo huo mdingi kama hautaki kuacha huo mchezo basi unastahili kurembewa mitama.(hapa hasheem thabit anahitajika)

  ushauri:hako kamtoto kaambie katimue haraka kabla hakajabeba ujauzito wa faza wake.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  leo hapa panaboa mada zimegeukia kushoto ni mtoto gani huyo asiyejua jema na baya??????????
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Dah! Hapo kwenye red umeongea kama Bi Kidude.
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wazee wa Dar es Salaam wanakula watoto wao (wa kike hasa) kuliko unavyofikiria.

  Siui tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ugonjwa wa akili au ni ushirikina au ni nini sijui.

  Ushauri wangu kwa akina mama, waepushe watoto wao wa kike kufanya mazoe na baba zao yaliyopitiliza. Haya mambo ya kupelekana beach kuogelea na kwenye outing za mabaa makubwa yanachangia sana kuharibu jamii. Ninafahamu more than 20 cases za akina baba kufanya zinaa na watoto wao wa kike and the very last incident ilikuwa March this year maeneo ya Airport. Mama alimfumania mme wake "live" akiwa na bintiye ndani ya kumi na nane!

  Mama kwa sasa anauguza "stroke" na yule binti ametoweka mjini - Ila i gather kwamba yupo MO-Town na baba bado anaendeleza libeneke!
   
 14. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hilo ni kosa la mtoto au la baba?
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Another sad story
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Na ulaaniwe mpaka kizazi chako cha saba
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  mbona hiyo issue mie naisupport kwa vigezo vyoote vya kimaadili hasa ya dini na pia kwa vigezo vya baiolojia ...ndio...BABA ANAYOHAKI YA KUMLA URODA MWANAE WA KUZAA ...yes...i said n will keep on doin that...
  1:- KIDINI....adamu aliumbwa akapewa mwenza eva ..wakazaa watoto wake kwa waume...nao watoto wao wakazaana (hapa kaka alimla dada..and vice versa)...inahusisha pia baba kuwala watoto wa kike pia na wakiume kumla mama yao eva....(habari ndo hiyo)

  2:-KIBAIOLOJIA..wanadamu wako katika kundi la wanyama...kama walivyokuwa ngombe mbuzi, sokwe tembo etc...tofauti kati ya mnyama "mwanaadamu" na hawa wengine ni utashi wa kufikiri...no mo no less..sasa hicho kijiutashi hakitoshi kumfanya mnyama huyu "mwanadamu"..kuwa tofauti 100% na wenzake kina sokwe na tembo...so kama tembo anammega mwanae hata mwanaadamu akiwa kama mnyama tembo ni haki yake kummega mwanae...(habari ndio hiyo)
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  INATEGEMEA NA UMRI WA BINTI, kama ana Umri wa kutosha kujua mambo mabaya na mazuri , makosa ni yao wote wawili, lakini kama ndio kanapevuka basi BAba ndi mwenye makosa
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  May 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mi ctaki jamani!!
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kulaaniwa peke yake haitoshi, mdingi kama huu nashauri uondolewe kwenye ramani ya dunia. hako kamtoto acha kawe kajasiri kakimbie tu.
   
Loading...