nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc
Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"
Nisaidieni wadau...ushauri.
Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"
Nisaidieni wadau...ushauri.