kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,059
- 703
Kanipigia tena simu now...kaniambia atanivunja kiuno. Daah sijawahi kuona mwanamke baunsa kama huyu. Anaongea kigaidigaidi tu
6x6 nako alikua baunsa?
Kanipigia tena simu now...kaniambia atanivunja kiuno. Daah sijawahi kuona mwanamke baunsa kama huyu. Anaongea kigaidigaidi tu
Hawa ndiyo wanatufanya tudharaulike na wanawake. Kuna thread mwanamke kasema eti wanaume tumekuwa ombaomba siku hizi!! ombaomba wengi ni wanaume! aaaagriiii nimepiga ngumi ukutani!!
Na wewe mwambie vile ulivyomhonga naye akurudishieWadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc
Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"
Nisaidieni wadau...ushauri.
My kaka huyu thiimuwezi hata kidogo.......na mie kuhonga thijui.........
Ngoja apathuliwe tu ...........
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc
Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"
Nisaidieni wadau...ushauri.
Unataka mtoto wa mama apasuliwe???? kwanini usimwombee adhabu nyingine japo ya heshima kwa mwanaume?
Nikibadili namba. ...nitapoteza marafiki wengi sana. Siwez kufanya ivo...
hivi wewe mbona muongo muongo?ni ushamba wa kutumia mitandao au ni nini?
Acha umburula wa kutujazia mithread ya kishenzy shenzy stori za kifala kifala
Ni ukweli nina kithembe...huamini blaza.
Mkuu Heaven on earth yupi? mke wangu au?. mia