Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

vizuri sana mnapenda mteremko kwa kutembea na mama zenu na bado HIV litakua limekuachia nyambafu

Samahani mkuu mama yako wewe ana HIV? Utu uzima na HIV sijui una husianaje mkuu?
 
Ulitoa penzi kakupa thamani ya penzi lako nafikiri hiyo ni mali yako ila achana na majimama
 
Kanipigia tena simu now...kaniambia atanivunja kiuno. Daah sijawahi kuona mwanamke baunsa kama huyu. Anaongea kigaidigaidi tu

Hujui maana ya kuvunjwa kiuno wewe. Akikamilisha mpangoa wake utawasahau wanawake, jogoo wako atasahau kuwika
 
Mabinti ni wasumbufu sana. Ndo maana nimeamua kurusha ndoano kwa Heaven on Earth- akila tu chambo-kanasa. Ntaivuta hiyo kamba kwa nguvu zote...mpaka anafika nchi kavu anakua yupo hoi. Nampuzisha kwa kikapu mpaka kifo kitutenganishe. Nakupenda sana Heaven. Penzi langu kwako ni kama zali la mentali.
 
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"

Nisaidieni wadau...ushauri.

Oooohh...mamaaaa....usupastaa unanchosha meen.
Mkuu mpotezee, kwani lazima upokee simu yake. Kama kuna vitu ambavyo unavyo mrudishie akauze mtumba. Mia
 
Mabinti ni wasumbufu sana. Ndo maana nimeamua kurusha ndoano kwa Heaven on Earth- akila tu chambo-kanasa. Ntaivuta hiyo kamba kwa nguvu zote...mpaka anafika nchi kavu anakua yupo hoi. Nampuzisha kwa kikapu mpaka kifo kitutenganishe. Nakupenda sana Heaven. Penzi langu kwako ni kama zali la mentali.

Mkuu Heaven on earth yupi? mke wangu au?. mia
 
Last edited by a moderator:
So sad dume zima badala kufanya kazi linaishia kuhongwa, rubbish
 
We dogo utamweza Heaven wewe?..ushaclear sapu zako kwanza?..Acha kudandia vitu vya wakubwa. Afu mbona anakuponda sana kwamba wewe ni kama Marioo kwake...na kwamba upo kama mganda-sweta hujakata. Tulia dogo...acha shobo
 
Hawa ndiyo wanatufanya tudharaulike na wanawake. Kuna thread mwanamke kasema eti wanaume tumekuwa ombaomba siku hizi!! ombaomba wengi ni wanaume! aaaagriiii nimepiga ngumi ukutani!!
Pole ndio mambo,wanasema Kupeana ni kikoa toa na wewe upewe,sasa kama mwanamme mwengine katoa mwanamme mwengine anapewa..sema ikizidi ndio hayo yakuchukua Mama ukawa mtumwa wake.
 
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"

Nisaidieni wadau...ushauri.

ww mrudishie mnatudhalilisha kupenda mteremko... Puumbaaaaaaaf
 
Back
Top Bottom