Anataka tuachane, nifanyeje?

Anataka tuachane, nifanyeje?

Pole sanaa but siku nyingine usirudie kua na relation na mtu mmoja jitahidi kua nao hata wanne ukishindwa kua nao hata wawili hiyo itakusaidia mmoja akikuacha anakuapo wa kukuondolea stress!
Wanne serious?? Kwa dunia ya sasa ilivyo sishauri mtu kuwa kwenye relation na mchumba zaidi ya mmoja manake hapo maradhi hayatakuacha na usijue aliyekuambukiza.
BTW kama aliweza kupata huyo aliyenaye hatoshindwa kupata mwingine,muhimu kutulia na kumuomba mungu akuletee mtu aina yako.
 
Daah sasa sijui hata nisemeje?maana kuna uzi umeanzisha unataka mwanaume akupe mimba uzae au nakosea?ama kweli hili jukwaa limevamiwa na watoto wa shule bhana.
mwwenyewe nilikimbia PM aibu ganii hiii jaman? hawa watoto shule si zifungue haraka
 
kaka yy hajatoa sababu yoyote.
Labda me wale ambao Makonda anwatafuta,maana kunauzi umeanzisha unataka mwanaume akutie upate mimba,sasa wewe ni mwanaume wa aina gani unaetaka kubebe mimba.
 
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.

Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?
...ndio yule uliyesema hajakutungisha Mimba tangu 2012?,..kama ni huyo bora akuache tu.
 
huyu mtoto asionekane huku tena
Yaani napata hasira natamani nimuone huyu mtu anaetuchanganya namna hii,maana hapa jukwaani tupo kwa ajili ya kusaidiana na kupeana mawazo sio kufanyana watoto.
 
...ndio yule uliyesema hajakutungisha Mimba tangu 2012?,..kama ni huyo bora akuache tu.
Cha ajabu anasema yeye ni mwanaume,wakati ameanzisha uzi anatafuta mwanaume amtombe apate mimba,na yuko tayari kulipia huduma hiyo kwa sababu mme wake hakuweza kumtia mimba,sasa kama sio wehu ni nini?,au mimba inaingiaga mkunduni kwenye mavi?
 
Km pocha hiyo ni yako basis haujaachwa,unapimwa tu imani ili jamaa zone utareact vp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom