Anataka tuachane, nifanyeje?

Anataka tuachane, nifanyeje?

Dah hapo dawa ni akimwaga ugali unamwaga mboga ngoma droo! Fanya ivi andaa kad ya mwaliko wa harusi feki uandike kuwa unaoa afu umpelekee ufanye kama unamwalika harusi yako uone hapo lazma atokwe na jasho had kwenye papuch yake
 
Jaribu kuishi kijeshi tii amri bila kuhoji, achana naye kama anavyotaka
 
Daah sasa sijui hata nisemeje?maana kuna uzi umeanzisha unataka mwanaume akupe mimba uzae au nakosea?ama kweli hili jukwaa limevamiwa na watoto wa shule bhana.
Huyu si mtoto wa shule wala nini but atakua shoga huyu au ana jinsia mbili
 
Sasa ndugu yangu kama amesema mwachane huoni anakusaidia? Wewe cha kufanya vunga tu kama miezi minne hv afu unatafuta kifaa kikali kuliko yeye mara mia uone kama hatataka kurudi wanawake wakiwaona wenzao wazuri kuliko wao inawaumaga Sana
 
Endelea na maisha si hakutaki! Tafuta mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom