Anataka tuachane, nifanyeje?

Anataka tuachane, nifanyeje?

Au mchome kisu cha tumbo halafu kimbia dalisalama ukajifiche haiwezekan akupotezee mda wako
 
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.

Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?
Mtie super glue
 
Mkuu kwanza pole pili muache wala usiulize kwanini amefanya vizuri kukueleza kapata mwengine anapiga pumbu vizuri
 
W
choma moto gethoo lake muibie baadhi ya vitu si usema umewekeza kwake baada ya hapo atakutafuta tu hapo ndo utajua kuwa anakupenda kuliko ww unavyompenda...fata ushaur huu umesaidia wengi
weWe utakuwa panya road
 
Muache...

Ishi sasa mtu anataka muachane then we unang'ang'ania mkuu, acha ushamba wa mapenzi, ishi kwa mtu anayeishi kwa ajili yako, kutaka kulizuia gari linalotaka kuondoka ni kujitaftia majeraha yasiyotibika kirahisi..

Kulikuwa na maisha kabla yake na kuna maisha baada yake, muache aende.
 
kama unatania tutaendeleza utani, kama uko serious weka maelezo ya kutosha usaidiwe

wewe ni me, au ke? huyo pichani kwa mfano ni mvulana yuko kijoti joti au msichana serious??
mimi ni mwanamme kaka
 
Mkuu ni vyema ukamwacha kaenda kwa sababu hujui nini mwenzako kaona, kapanga nini, na inawezekana ana mtu wake wa nguvu.
Let her go though it is so painful to see your beloved one going away. Let her go, let her go go away and never expect her back she seems to be ain't yours.
But if she is yours she will come back to you-"if the dove substantially belongs to you, let it freely fly and to you it will come back"
thanks bro
 
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.

Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?

Hiii imenitokea na mimi ila nikushukuru tu Mungu maisha yanakwenda
 
Sikuwa na gf mwingine.alikuwa yy pekee
Kweli hapo lazima uumie mkuu kama ulikuwa nae pekee najua maumivu yake kwani nimepitia hiyo demu alinyakuliwa na msela mmoja na kwenda nae India lakini maumivu yale hayakunifanya nianze tabia ya kuwa na demu zaidi ya mmoja kwa msimu mmoja wa usajili-nimebaki na uaminifu wangu. Hata hapa nimepokea kibuti niko nauguza maumivu lakini naamini muda utafika nitapata kifaa kingine kikali zaidi maana watoto wakali wamejaa sana hapa hapa manyerereland kila nikisafiri kutoka mashariki kwenda magharibi mwa hii nchi warembo ni wengi na unayekutana nae ni mkali zaidi ya uliyemwona awali. Actually haina maana ya kumlilia demu mmoja wakati ukijua asilimia 60 ya watz ni wanawake na hapo umeshatoa wale usiowahitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom