Anataka tuachane, kisa simridhishi

Anataka tuachane, kisa simridhishi

Nipo hospitali hapa mzee wangu anaumwa lakini baada ya kusoma post yako atleast nimefurahi leo asubuhi.You made my morning bro 😀
 
L-Nnoor wa Surur !! Je, matayarisho yashaanza?!!

Alhamdulillah,ndio tuna jikongoja kongoja,lakini safari hii huku kwetu mwenyezi mungu atunusuru manake jua kaliii,najitahidi ninunue vitu mapema jana nimekwenda shopping wallah zahmaa madukani pakutia mguu hakuna na joto basi Tafran....
 
Hatarii Sana, Kwenye S Mtu Anaweka C
Tukataenii Kuongozwa Na Chama Kimoja Miaka 50
 
Hivi ungeandika kwa kiswahili rahisi cha kawaida, ungepungukiwa na nini? Siingilii uhuru wako wa kuchagua lugha ya kujieleza ila kama nia yako ilikuwa kupata msaada, ungeongea kawaida. Hata hivyo wengine tumekuelewa na nitakujibu kama ifuatavyo.
Kwa kutumia aina ya lugha yako ni kwamba, unatakiwa kuacha undezi/ undorobo aka ubwege.

Huyo ni mtu kamili, mwenye hisia zake na akili timamu, aliposema kuwa hamuendani, hakusema kwa bahati mbaya kwani amefanya hivyo baada ya kukuchambua na kuona kuwa hukidhi viwango anavyovitaka yeye, huwezi kubadili hilo na pia halikufanyi wewe kuwa mjusi au nzi kwani unabaki kuwa mtu tu.
Hizo kelele za kuwa unampenda bado, ni sahihi kwa sababu ulimpenda sana na ulijipa confidence kuwa yeye ndio kila kitu kwako ila tatizo linakuja pale unapong'ang'ania kuwa unamhitaji bado wakati mpaka picha umetumiwa na si kwa kuwa alikosea, huko ni kuwa -----.
Yeye si Pumzi ya uhai kwamba utakufa ukimkosa, au kwamba ulimzaa wewe kuwa huwezi kutenganishwa nae.

Endelea na maisha yako/kazi/masomo ukiwa na mtazamo wa kuyaboresha maisha yako. Futa namba yake na acha kumsumbua kabisa. Tafuta mtu atakaekuthamini na kukupenda kwa jinsi ulivyo na ufurahie maisha yako badala ya kukaa unaota kupendwa na mtu asiekuhitaji.

Wanawake wanapenda attention na kuliliwa ila ikizidi wanatafsiri kuwa ni udhaifu wa aina fulani hata kama wanaliliwa na mtu wanaempenda sana na wanakuwa bored. Kwa hiyo usitegemee kilio chako kitamfanya akuone wa maana au kukurudia kwa sababu tayari amesema hamuendani na amekwishakuonyesha anaempenda.
So please, kick rocks and take a walk! I mean very far away! From her!
 
Alhamdulillah,ndio tuna jikongoja kongoja,lakini safari hii huku kwetu mwenyezi mungu atunusuru manake jua kaliii,najitahidi ninunue vitu mapema jana nimekwenda shopping wallah zahmaa madukani pakutia mguu hakuna na joto basi Tafran....
Wallah wewe bhana joto gani ?!!? Njo huku uone nusu ya jahanam..!! Alaa kuli hali rehema zake zitateremka kwenu usijaali.....!!
inaoneka "menu" yenu safari hii itakuwa top of the list....!
 
kama ulivyoandika hapo ndivyo unavyomgegenda!!!! amechelewa kukuacha. sooo boring
 
Huyu bado ni dogo halafu anataka mambo makubwa!!! Amejiunga tarehe 4 Juni 2015, na ameshaweka post tano, na hajapata like hata moja:
1.Mambo kumi usiyoyajua kuhusiana na bar zenye guest

2.Kupitia uzi huu 'Wengi hula nyama za watu mabuchani', JF imebadilisha maisha yangu

3.Nimetembea na mama na binti yake

4.Kisa ni kumgegeda kwa ustarabu

5.Ndoa inanishinda

Mada zake zote zimelalia kuzimu, naona hapa tunadili na mtu aliye na ugonjwa unaoitwa
Schizophrenia




Anahitaji maombi hebu please we need to rescue him!!!!hahahaaa!!!
 
Hahahaaa!
Kwani nyie hamkuanzaga na mechi za mchangani bibie?
...........................................
Zama zitafika ambapo tutaulizwa kuhusu 'sex experience' na 'pain experince' ili kuondoa usumbufu wakati wa mahusiano mapya...:becky::becky:
Kwa sasa, kama sina mpango wa mbali na mwanamke, i prefer 'hit and run', tena ajue wazi kabisa, no plan with her...:confused2::confused2:

Plans are expensive when it comes to emotional investments!
 
Ulovyosema Korea nakawa najiuliza Korea ya kaskazini au kusini
Hiki kiswahili bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom