Anataka tuachane, kisa simridhishi

Anataka tuachane, kisa simridhishi

Duuh adi kichefuchefu" sera ya elimu kwanza inabidi itiliwe mkazo sana.
 
habar gan wana JF
Nlkua na binti nlimpenda nae akanipenda mapenz yalipo korea akaamua kua ananiachia uwanja npke kabombo kama kawaida kwan mm ndo nlpuliza kipenga cha kwanza ktk uwanja mpya nae sema kwel alkubal mchezo kias kwamba akanipa na penarit za kutosha mgegedo wa kwanza kwake aliufurahia kias ambacho altaka nmuoe ck hio mishe ziliendelea kama kawa, na yy akanpa ratba ya kupga mech mara 3 kwa wk lkn akinionya niwe makin nsje nkampga mimba kwan angeweza chnjwa na mshua wake.nam nkalegeza kamba kwan kwa mzka nlokua nao suary ngmpga kmmba ,,,,,,,,,, Mara mack ya kwenda masomn yalpo karbia akantumia ujumbe kua mm c mridhish na hisia zetu haziendan nakutaka tuachane iliniuma sana ckulala uck kucha kwan nlpromc ntamuoa after masomo......nkajuta kua bora ngempga kitoto na angekoma .mpaka sasa tunasalmiana tu kwa sim na anasema ameshapata mwngne na pcha kantumia . nfanye nn na bado nampnda? ushaur wenu wakuuuuuu.


Nenda kasome kwanza Lugha ya kiswahili huwezi hata kupresent mada...

Hii mitoto kwanini inapewa smartphone? wapeni vitabu hawa
 
ndo ujue alikua anapotezea mda kwako alishakuwanae kitambo...kama vipi we Scan kichwa na ufute virus...Ufanye mishe zingine..
 
Dogo mbona mbishi?? Mchezo wako uko chini ya kiwango. Kubali yaishe. Tafta kwingine
 
Pole sanna mdogo wangu, nitumie namba yake nimshauri mrudiane,sio vizuri alivyokufanyia wakati wewe bado unampenda kwa dhati. Nitumie namba yake nimpe ushauri,nimewasaidia wengi sana wenye matatizo kama yako.

hahahahahahahah,we chalii ni fasi!!! Haya msaidie tu mdogo wetu
 
Kuandika kujui inawezekana hata kut....b.a hujui.
 
chakufnya subiri shule ifunguliwe halaf upewe pocket money ukawaringishie wenzako:thumbup:
 
Kukataliwa ni sehemu ya maisha. Kama amesema hakutaki achana naye. Najua ni ngumu lakini ukijilamisha kwamba humpendi tena itafika muda utakuwa humpendi. Tafuta msichana mwingine wa kukuliwaza na atakusaidia kumsahau huyo aliyekuacha.

Naweza kubashiri we bado mdogo kulingana na mwandiko wako wa ki dotcom. Inaonyesha ndo unaingia kwenye mapenzi. Siyi kila unayemtaka atakukubali na siyo kila atakayekupenda nawe utampenda. Jitahidi mwisho utaweza, ni utoto tu. ukikua utaona hapakuwa na lolote la kukuwangisha kichwa.
 
kazi tunayo,yaani mpaka shule zije zifunguliwe tutakuwa tumeshuhudia mengi humu.
sijui ni Korea ya kusini au kaskazini.
 
Hawa wafungue shule watutolee hizi shida jamani. Wako likizo now.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom