nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Hata mimi na wewe ni marafiki wa siku nyingi lol
But not close friends. Lol.
Closeness should always be avoided.
Wewe ni rafiki wa kijiweni tu (MMU)
Nina biashara za kudiscuss hotelini
huna intersts? lol
Kama una wasiwasi,ni pm mawasiliano yake, I will be pleased to be of help to her!, nina roho nzuri sana na kusaidia watu umekuwa ni wito wangu wa muda mrefu
Mh! Naona unaomba Mungu angekwambia wewe! hahahaha!
Halafu mkitoka kukoboana unategemea kuna biashara itakuwa inaendelea hapo?
Utapigwa mizinga mpaka ushangae!
Wadau,
Nliadimika baada ya kutumiaa silly trick ya kuizima na kudanganya nimepoteza simu.
A trick is so silly that nimekosa kua hewani kwa muda wote toka jana jioni, pia it is just a postponement of tatizo from yesterday to today.
As a her problems are my concern so as not to create instabilities between us and our affairs, i have to make sure she is maximum stable as she as to to see on me, nawajibika kutimiza what she needs from me, so long as will not cost me anything at all.
Her husband knows me as well, and he even know that i have business affairs with his wife. Swala la kuniombea ndugu zanguni ni kuhusu nikumbuke tu "kuvaa" kitu ambacho nawaahidi sintowaangusha. I have to get a deal from her as she said she have, so no way i Can continue escaping her anymore.
Shark
Na wewe acha udhaifu, ina maana wewe huna hata kidumu nje ya mkeo? Watanzania hawako bize ndio maana muda mwingi wanawaza ngono, kama ukipata bahati ya kufika Japan au kama umefika utajuwa hapa naongelea nini.nilkuwa nasubiri huu uzi wako wa mwisho tu hapo ndiyo nimepata jibu kuwa hata siku moja usije kubali mpenzi/mkeo/mume wako kuwa na biashara na mtu wa jinsia tofauti labda awe ndugu yake kwakuwa hawezi kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu otherwise hakuna uaminifu duniani tena, imeniuma sana hii hali na sisi tunaofanya kazi tujue haya kuwa ukienda mbali kwa muda fulani basi utakuta mkeo si wako tena bali watu wengine tayari wanakusaidia kutunza familia yako, its bitter to swallow, sisemi uongo imeniuma sana ujumbe wako wa mwisho shark.
nilkuwa nasubiri huu uzi wako wa mwisho tu hapo ndiyo nimepata jibu kuwa hata siku moja usije kubali mpenzi/mkeo/mume wako kuwa na biashara na mtu wa jinsia tofauti labda awe ndugu yake kwakuwa hawezi kufanya mapenzi na ndugu yake wa damu otherwise hakuna uaminifu duniani tena, imeniuma sana hii hali na sisi tunaofanya kazi tujue haya kuwa ukienda mbali kwa muda fulani basi utakuta mkeo si wako tena bali watu wengine tayari wanakusaidia kutunza familia yako, its bitter to swallow, sisemi uongo imeniuma sana ujumbe wako wa mwisho shark.
Sio wote wako hivyo!