Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Mkuu,
Muda bado, mpaka jioni. But kuna % kubwa sintoenda!! Kusaidiana kuondoa hamu bila kua na mahusiano sidhani kama imo!!

Ha haaa acha uvivu bana ,niweke hapo kama vipi.
 
kumbe ushacheza mpk dili la kufumania??hujawah kuckia a conman get conned??usitake balaa mkuu km nlivokwambia we co chombo cha sex funga mjadala
 

Kaka,
Mimi pia Namchukulia kama best tu, na mshirika kibiashara including some deals ambazo sio poa kuzitaja hapa.!
 
Kaka,
Mimi pia Namchukulia kama best tu, na mshirika kibiashara including some deals ambazo sio poa kuzitaja hapa.!
Sasa si nimeshakupa jibu? Maneno ya nini? Jioni usiende ila mpigie simu umuulize, "Inawezekanaje kaka ku-sex na dada yake?". Bila hivyo usitusumbue maana unaonekana na wewe mate yanakutoka kama Mr. Hyena aliyeona mzoga!
 

Kaka,
Mimi pia Namchukulia kama best tu, na mshirika kibiashara including some deals ambazo sio poa kuzitaja hapa.!

Yeye hachukulii kama vile sex as others think that should be done secretly, anadai ni sawa na tunavyokutanaga mahali tunakunywa huku tukipeana deal.

Sometimes twaendaga hata beach kuogelea but for business purposes, so this will be part of it. Kibaya zaidi ananiambia ana issue anataka aniambie but anahisi hayuko OK kutokana na kutoku-do muda mrefu!!
Mchana huu anani-text naenda saa ngapi, sijajibu bado.
 
Dah,
Ukweli nikimkatalia napo pengine ndio mwisho wa kujihusisha nae kibiashara.

Nahisi nifumbe tu macho, but only once!!

Mkatalie in a way ambayo hawezi gundua kwamba umemkatalia.
 
Hakuna urafiki kati ya me na ke...hata ukiwa in the name of biashara mwisho wake ndio kama huu.

Stay away from jinsia nyingine. Shetani mnamtafutaga wenyewe!
 
Hayo ndo mapenzi ya siku hizi hakuna kupendana kwa dhati ni kudo na kula kona.

Huo ndo ukweli ukimmalizia shida yake kwa sasa mumewe akirudi atamwambia
darling nilikumiss mbaya mbovu kumbe hola kashado na Shark na anachuna
Habari ndo hiyo........

Ila mke wa mtu sumu shark oooohhhhh
 
Sio uchaga
uzoefu wangu
kwa wanawake pesa na vagina ina thamani sawa
hawezi kukupa vyoote
lazima kimoja kifidie kingine lol
sio wanawake wote lakini.
nimeuliza hivyo sababu hujataja consequence nyingine ya kufanya hivyo zaidi ya kudai hela yake
 
sio wanawake wote lakini.
nimeuliza hivyo sababu hujataja consequence nyingine ya kufanya hivyo zaidi ya kudai hela yake

Yes sio wote
lakini hapa kuna trap...
hii inaitwa 'vagina trap'
ama mwanamke atataka kumdhibiti kwa sababu ya 'bussiness' wanazofanya
au atataka kulipia baadhi ya madeni kwa sex....
 
Shark acha uwoga kapige kitu kama ipo mahali yake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…