Anataka nimuoe na mtoto wake

Anataka nimuoe na mtoto wake

loveissweet

Chungwa na chenza kipi kina virutubisho vingi na kipi nikitam?
nakuona unajaribu kujitetea, kwann ulizaa na mtu na mkaachana, hapa sababu ni kiburi na ulimbukeni wa kumpenda mtu humjui tabia au ulipenda pesa, sasa ushateleza unaanza kubwabwata na kulilia vijana walio tulia. ujuaji wako sasa mfukoni, kama unaweza kaa kwako uza mkaa zaatena lea mwenyewe.

At first nilidhani ukiyoyasena unayajua that's why nilipoteza muda kukujibu ili nikupe ufahamu wa tukio mwenye mada ni kijana sijawahi kuzaa na mwanamke yeyote sababu kubwa ni kuogopa migogoro km hii bila sababu ya msingi! But sijui why unaishi kwa hisia mimi mwanaume c mdada mwenye mtoto.
 
Mnhhh............hebu ngoja niendelee kuwahudumia watanganyika hapa
 
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenena mkuu kama ulikuwepo kwenyemawazo yangu

Hivi wengine mna muda wa kukaa na kubuni na kuandika stori bila malipo eti...! Mimi nadhani ni miongoni mwa watunzi bora wa stori but siwezi kaa na kusumbua kichwa changu kubuni na kuandika stori kuburudisha watu with no means of how i will benefit especially financially.
 
At first nilidhani ukiyoyasena unayajua that's why nilipoteza muda kukujibu ili nikupe ufahamu wa tukio mwenye mada ni kijana sijawahi kuzaa na mwanamke yeyote sababu kubwa ni kuogopa migogoro km hii bila sababu ya msingi! But sijui why unaishi kwa hisia mimi mwanaume c mdada mwenye mtoto.

umenielewa vibaya nilikua najibu post ya Loveisset samahan mkuu
 
Chukua mfano kama ungekua na mtoto nje halafu ukataka muishi nae akatae kuolewa na wewe kwa sababu ya mtoto, ingekuwa sawa?

Jamani situation yangu si katai mtoto ila nataja baba mtu awajibije yupo hi na anauwezo wa kufanya hivyo! So why should i take majukumu ya mtu mwenye uwezo na sababu za kubeba majukumu yake! Kuna wakati niliwahi kumwambia kuwa malazi na chakula na upendo wa wanangu nitsmpatia basi akamlipie karo, wanashindwana baba mtoto sasa ubaya wangu uko wapi?
 
mkuu! mapenzi ya mtoto kwa mzazi yanakuja akiishi naye tangu akiwa mdogo so wewe hujachelewa kaanae tu huyo dogo,ukikaanae tangu umri huo alionao atakuona kama baba yake mzazi haina haja ya kumrudisha kwa huyo baba yake mzazi kama mama yake hajaridhika na hilo kama kweli umempebda mama wa huyo mtoto kaanae tu wala hakuna ubaya
 
Kuna muda watu mnachukulia kila kinachosemwa hapa jamvini ni stori ila sasa mimi niwakumbushe mengi km c yote ni ukweli amini usiamini.
Kama ni kweli ngoja, nikishafuturu nitakuja kukushauri jambo la msingi sana....sasa hivi network ya oblangata imepotea kabisa kwa sababu makali ya swaumu.....
 
usithubutu,,, utarudi hapa kutuambia,,, huyo muongo.
 
Mleta mada unaonekana kutokumlea mtoto huyo. Basi mwambie mchumbako akubaliane na x wake la sivyo umwache tu usije ukaingia matatizoni badaye
 
are you a single mother?

Dear ukishajua then what's next? Naomba tu focus kwa Huu uzi and not me... Hizi scenario nazionaga kwa watu wengi sana . Na zinawatesa sana wadada wengi. But haziwatesi wanaume . Why always women have to suffer? For what? Especially kids .. Binafsi ningekuwa huyo Dada wala nisingesumbuka tena kulazimisha MTU ambaye Bado hayuko okay kuwa na mwanangu .. reason? Because baba yake anafanya kazi nzuri .. so what ? Hata kama asingekuwa na kazi nzuri sidhani kama ningeruhusu mwanangu akaishi na mama Wa kufikia kwa age kama hii.kutembea ruksa but not kuishi kule... Mpaka akue achague mwenyewe wapi atataka kuishi wapi permanent.. Thanks..
 
Dada umenishambulia as if niko totally responsible to care this kid...! If you have go through this thread very well, you should have noted something about the real father of kid. It doesn't mean that am regretting to stay with that kid, but the big issues inakuja baba wa huyu mtoto yupo tena anamaisha mazuri zaidi labda na ya kwangu...! But kwa kiburi tu hataki kutake responsibility yake kumtunza mwanae.

Binafsi sisupport huyu mtoto aende huko maana bado mdogo nilimshauri aende ustawi wa jamii aombe jamaa amsaidie kumtunza mtoto ata kwa kulipa ada ya shule ndiyo wanashindwana huko huyu anataka mwanae aende boarding au amchukue mama hataki.

Sasa huyu mpenzi wangu analeta sympathy ya kwamba mimi nimtunze mtoto jamaa akale goodtime huko. Aoneshi kupokea ushauri wangu anadai jamaa akimhudumia mtoto badae atamchukua sasa mimi najiuliza hivi huyu mwanamke anataka tumdhurumu mtoto wake baba wa mtoto hapo ndipo simwelewi.
Binafsi sina kinyongo na dogo shida natafuta kujibu hili swali...! Why should i take responsibilities of one whose has every reason to stand for his responsibilities.

Dear I asked myself if you are not or don't want to be responsible for that child why are you with her mother ?leave her mother then you won't have none of the involvement... Leave her and surely she will get somebody else who will be willing to deal with all that.. As long as you are involve with that relationship her child must be involve too ..

Mimi sijakushambulia but hey I spoke the truth so I can be free. Unajidanganya ndugu kusema kuwa unampenda huyo Dada lakini hauko okay mentality to take her daughter as your own .. Kwa huyo Baba kuwa na uwezo Wa kutoa fedha or mahitaji ya mtoto. But hatoi chochote .Wewe ndio inakuumiza sana . Dear ulipoanza relationship ulijua huyo Dada kama ana mtoto . Na hayo yanayotokea unayaona . Sasa hapo kaa chini ujiulize nafsi na moyo wako .. without forcing your heart .. Make a good decision as quick as you can before the little kid get too much close to you , ukamuumiza huyo mtoto .. Thanks...
 
Huyo alieanza kwa kudanganya ogopa kuna mengi juu yake hauyajui, bora hata ungejua kwanini alienda kudai posa na tayari wana mtoto.

Uongo wake mwanzoni jiulize na unaonekana hauko tayari kulea mtoto wa mwingine ukijua kuwa ana kazi nzuri na anataka kumlea.
 
loveissweet

Chungwa na chenza kipi kina virutubisho vingi na kipi nikitam?
nakuona unajaribu kujitetea, kwann ulizaa na mtu na mkaachana, hapa sababu ni kiburi na ulimbukeni wa kumpenda mtu humjui tabia au ulipenda pesa, sasa ushateleza unaanza kubwabwata na kulilia vijana walio tulia. ujuaji wako sasa mfukoni, kama unaweza kaa kwako uza mkaa zaatena lea mwenyewe.

Excuse me are you talking to me ? Is this thread is about me or is about the person who wrote it . My dear too bad it wasn't about me who brought this thread, if it was me I believe I would handle it very well . I wouldn't beg a guy to help me to take care of my child never trust me .. That's why I work hard and never depend no human being for the bread except God.. ..
So if you have stress please take it to somewhere else not to me... look at you ..You got some personal issues with me ..Guess what I have none . You seem don't even know what are you talking about , none sense .. I forgave you anyway ..Have a good life . Be blessed. Thanks..
 
Huyo alieanza kwa kudanganya ogopa kuna mengi juu yake hauyajui, bora hata ungejua kwanini alienda kudai posa na tayari wana mtoto.

Uongo wake mwanzoni jiulize na unaonekana hauko tayari kulea mtoto wa mwingine ukijua kuwa ana kazi nzuri na anataka kumlea.

Dear nimependa hapo uliposema ukweli kuhusu kutokuwa tayari kulea mtoto Wa mwingine akijua kuwa ana kazi nzuri.. And its true.. Thanks..
 
Kiongozi, kwa upandewangu mimi I can understand and agree with your woman..ana point katika maelezo na msimamo wake

Kwanza ni asiimia kubwa ya wanawake wenye tabia za kuwatesa watoto wasio wa kuzaa wao

Pili the kid is still young...watu tunapenda sana kujifanya tumeendelea lakini kiuhalisia mtoto inabidi akae na wazazi au mzazi at least mpaka at the age of 12..sasa habari ya kumpeleka mtoto wa miaka 4 boarding sio nzuri

Tatu huyo baba mtoto angekuwa genuine asingeweka masharti kama hayo ya kutomhudumia mtoto mpaka asikilizwe yeye..na najiuliza hiyo ustawi gani wameenda ambako wameridhia baba asitoe matunzo kwa vigezo vyake baba

ninavyojua at that age mama ndo ana turufu ya kukaa na mtoto isipokuwa pale ushahidi ukitolewa kuwa mama haqualify kulea

Nakushauri usiachane na mpenzi wako, msaidie kulea mtoto wake bila kutegemea anything in return...namaanisha siku waki-renconcile na mzazi mwenzake wakaamua baba amchukue mtoto wewe uwe ready kufuata maazimio yao

Kila la kheri
 
At first nilidhani ukiyoyasena unayajua that's why nilipoteza muda kukujibu ili nikupe ufahamu wa tukio mwenye mada ni kijana sijawahi kuzaa na mwanamke yeyote sababu kubwa ni kuogopa migogoro km hii bila sababu ya msingi! But sijui why unaishi kwa hisia mimi mwanaume c mdada mwenye mtoto.

Pole my dear Kaka huyo alinidhamiria miye .. nashangaa kaingilia kwa thread yako .. Pole sana .. na samahani kwa usumbufu.. Thanks ..
 
Back
Top Bottom