Anataka nimuoe na mtoto wake

Anataka nimuoe na mtoto wake

loveissweet, hayo ni kawaida kwa wasiomcha Mungu. huyo dada angemrudia YESU nae angerudishiwa thamani&heshma ya Kimungu
 
Ni kweli Mtumishi.. Seriously amefungwa mpaka anajisahau if she is wonderfully , fearfully made by God . Who knows and truly love her the way she is more than anybody else could ever imagine ... Thanks ..
 
KWA Sbb Mungu ndie amenituma niinge humu Jf, wacha niweke cm zangu ili kuwasaidia/kushauri KIMUNGU 0757856336/0673100772
 
Nakushauri ukutane na jamaa walioachana nae na kuzaa nae mfanye men's talk. Utagundua mengi yaliyo nyuma ya pazia. Huyo mwanamke ni muongo muongo na usingechumbua mambo wew mwenyew ungeoa bila kuyajua
 
Kiukweli mpenzi wangu analalamika sana, analia mno anasema maneno ya kuumiza eti bora angekuwa na mama, dada, kaka au baba anasema isingekuwa shida pakumpeleka mtoto wake...! Hii kitu inaniumiza sana mkuu licha ya kwamba ushauri nauona makini...!

Huko mahari ilikopelekwa na mwanaume wake kabla yako ni wapi?yani kwa nani?maana apo umeongea kavile mkeo to be hana ndugu yeyote,yuko pekeake ukoo mzima wa kwao.
 
To me , my child is my first priority no matter what .. You don't want to take care of my child , that means you don't want to take care of me and you don't care about me .. And if you don't want to take care of me and care about me it means you have never loved me , but you think you do because I give you what you want or desire .. In that case if there is no Love why should I keep stay or be with that person ? No reason to waste a time.. Listen I don't think so if you truly love that lady , you just love the way how she gives to you but not unconditional Love..

So please stop waste her time and confusion to that little innocent child and let them go . I believe she will get a man who knows what love is and will wipe her tears away... . Na sisi wanawake tuache kuwa ving'ang'anizi kwa wanaume wasiotaka kuwa nasi na watoto wetu.. Kwani kuolewa ni nini jamani yaani uko radhi kulazimisha ndoa kwa mtu ambaye hayuko tayari kulea mwanao , Uughh ..

Mume na mke mwema wala hatojali or kujiuliza twice to take care of you and your child.. Hebu tumuaminigi Mungu kuwa yeye huwa ndio anatoa vilivyo vyema na kujifunza kuwa Patient ili wa kwetu siye waje kwa wakati aliopanga Yeye aliye Juu.. amen.. Binafsi siamini eti unanipenda mimi but you are not ready to take care of my daughter or son.. Hivi una uhakika gani kama uko in the future you will have your own ? None sense .. sipendi watu wanaobagua kids for their own interests na kujifanya kuwapenda wadada tuu.. Kids are angels and deserve to be treat well , after all they are just need love nothing else ... ..

Thanks..

Dada umenishambulia as if niko totally responsible to care this kid...! If you have go through this thread very well, you should have noted something about the real father of kid. It doesn't mean that am regretting to stay with that kid, but the big issues inakuja baba wa huyu mtoto yupo tena anamaisha mazuri zaidi labda na ya kwangu...! But kwa kiburi tu hataki kutake responsibility yake kumtunza mwanae.

Binafsi sisupport huyu mtoto aende huko maana bado mdogo nilimshauri aende ustawi wa jamii aombe jamaa amsaidie kumtunza mtoto ata kwa kulipa ada ya shule ndiyo wanashindwana huko huyu anataka mwanae aende boarding au amchukue mama hataki.

Sasa huyu mpenzi wangu analeta sympathy ya kwamba mimi nimtunze mtoto jamaa akale goodtime huko. Aoneshi kupokea ushauri wangu anadai jamaa akimhudumia mtoto badae atamchukua sasa mimi najiuliza hivi huyu mwanamke anataka tumdhurumu mtoto wake baba wa mtoto hapo ndipo simwelewi.
Binafsi sina kinyongo na dogo shida natafuta kujibu hili swali...! Why should i take responsibilities of one whose has every reason to stand for his responsibilities.
 
Kwa mjomba wake! Ndiye kamlea issue kule mke wa mjombe wake kuna jinsi fulani ataki huyu dogo akae kwa babu yake yaani mjomba wa mama mtoto.
 
are you a single mother?
 
Dada umenishambulia as if niko totally responsible to care this kid...! If you have go through this thread very well, you should have noted something about the real father of kid. It doesn't mean that am regretting to stay with that kid, but the big issues inakuja baba wa huyu mtoto yupo tena anamaisha mazuri zaidi labda na ya kwangu...! But kwa kiburi tu hataki kutake responsibility yake kumtunza mwanae.

Binafsi sisupport huyu mtoto aende huko maana bado mdogo nilimshauri aende ustawi wa jamii aombe jamaa amsaidie kumtunza mtoto ata kwa kulipa ada ya shule ndiyo wanashindwana huko huyu anataka mwanae aende boarding au amchukue mama hataki.

Sasa huyu mpenzi wangu analeta sympathy ya kwamba mimi nimtunze mtoto jamaa akale goodtime huko. Aoneshi kupokea ushauri wangu anadai jamaa akimhudumia mtoto badae atamchukua sasa mimi najiuliza hivi huyu mwanamke anataka tumdhurumu mtoto wake baba wa mtoto hapo ndipo simwelewi.
Binafsi sina kinyongo na dogo shida natafuta kujibu hili swali...! Why should i take responsibilities of one whose has every reason to stand for his responsibilities.

Kama unampenda huyo dada muoe na lea mtt wake bila kinyongo sahau baba yake kama anaexist akija kumdai as long as ulimlea vizuri huyo mtt mbona atamkana baba ake kuwa baba sio kutoa mbegu bali kuwajibika kama amekataa unaweza lea na utapata thawabu tele. Tumeona.mifano baba au mama wamelea vizuri watt wa kambo na wamekuja kuwa wa muhimu sana kwenye maisha yao kuliko hata watt wao wa kuwazaa Mungu yuko na jinsi ya kulinda viumbe vyake vyenye kutenda mema atakulinda hata wewe ukimlea huyo mtt wala hautakaa hata siku moja ukose au uingie hasara yoyote zaidu utaongezewa baraka tele. Tumelea watt hata tusiowajua wazazi wao lakini hatukuwahi kulala njaa zaidi ya hawa watt wamekuwa baraka kwangu na kwa familia yangu
 
loveissweet

Chungwa na chenza kipi kina virutubisho vingi na kipi nikitam?
nakuona unajaribu kujitetea, kwann ulizaa na mtu na mkaachana, hapa sababu ni kiburi na ulimbukeni wa kumpenda mtu humjui tabia au ulipenda pesa, sasa ushateleza unaanza kubwabwata na kulilia vijana walio tulia. ujuaji wako sasa mfukoni, kama unaweza kaa kwako uza mkaa zaatena lea mwenyewe.
 
To me , my child is my first priority no matter what .. You don't want to take care of my child , that means you don't want to take care of me and you don't care about me .. And if you don't want to take care of me and care about me it means you have never loved me , but you think you do because I give you what you want or desire .. In that case if there is no Love why should I keep stay or be with that person ? No reason to waste a time.. Listen I don't think so if you truly love that lady , you just love the way how she gives to you but not unconditional Love..

So please stop waste her time and confusion to that little innocent child and let them go . I believe she will get a man who knows what love is and will wipe her tears away... . Na sisi wanawake tuache kuwa ving'ang'anizi kwa wanaume wasiotaka kuwa nasi na watoto wetu.. Kwani kuolewa ni nini jamani yaani uko radhi kulazimisha ndoa kwa mtu ambaye hayuko tayari kulea mwanao , Uughh ..

Mume na mke mwema wala hatojali or kujiuliza twice to take care of you and your child.. Hebu tumuaminigi Mungu kuwa yeye huwa ndio anatoa vilivyo vyema na kujifunza kuwa Patient ili wa kwetu siye waje kwa wakati aliopanga Yeye aliye Juu.. amen.. Binafsi siamini eti unanipenda mimi but you are not ready to take care of my daughter or son.. Hivi una uhakika gani kama uko in the future you will have your own ? None sense .. sipendi watu wanaobagua kids for their own interests na kujifanya kuwapenda wadada tuu.. Kids are angels and deserve to be treat well , after all they are just need love nothing else ... ..

Thanks..

Teh...akupe mimba mwingine, utake mwingine aje kukupenda na ampende mwanao equally.
Everyone should be responsible for his doings, the child's father is responsible for nurturing his baby.
Poleni mliozaa kabla ya ndoa.
 
Back
Top Bottom