Anataka nimuoe na mtoto wake

Anataka nimuoe na mtoto wake

Dear I asked myself if you are not or don't want to be responsible for that child why are you with her mother ?leave her mother then you won't have none of the involvement... Leave her and surely she will get somebody else who will be willing to deal with all that.. As long as you are involve with that relationship her child must be involve too ..

Mimi sijakushambulia but hey I spoke the truth so I can be free. Unajidanganya ndugu kusema kuwa unampenda huyo Dada lakini hauko okay mentality to take her daughter as your own .. Kwa huyo Baba kuwa na uwezo Wa kutoa fedha or mahitaji ya mtoto. But hatoi chochote .Wewe ndio inakuumiza sana . Dear ulipoanza relationship ulijua huyo Dada kama ana mtoto . Na hayo yanayotokea unayaona . Sasa hapo kaa chini ujiulize nafsi na moyo wako .. without forcing your heart .. Make a good decision as quick as you can before the little kid get too much close to you , ukamuumiza huyo mtoto .. Thanks...

I dont think you totally comprehend the situation and the meaning of love..as I have understood the guy, he loves the woman...but you should take time to consider that the issue doest not begin and end with his love..there are other parties involved..so the way you go about it attacking the guy is purely inconsiderate

The guy is not attempting to avoid helping the woman..but there is a clear daylight between helping the needy and taking responsibility of the issue emanating from misunderstanding between co-parents...and anyone will tell you that the most difficult and cumbersome cases are those pertaining to love affairs and parenthood

So try to understand him and advise accordingly
 
Jamani situation yangu si katai mtoto ila nataja baba mtu awajibije yupo hi na anauwezo wa kufanya hivyo! So why should i take majukumu ya mtu mwenye uwezo na sababu za kubeba majukumu yake! Kuna wakati niliwahi kumwambia kuwa malazi na chakula na upendo wa wanangu nitsmpatia basi akamlipie karo, wanashindwana baba mtoto sasa ubaya wangu uko wapi?

wenye kukuelewa tumekuelewa mkuu, wanakulazimishia ubaya nadhani mada nzima hawajaielewa vizuri
 
I dont think you totally comprehend the situation and the meaning of love..as I have understood the guy, he loves the woman...but you should take time to consider that the issue doest not begin and end with his love..there are other parties involved..so the way you go about it attacking the guy is purely inconsiderate

The guy is not attempting to avoid helping the woman..but there is a clear daylight between helping the needy and taking responsibility of the issue emanating from misunderstanding between co-parents...and anyone will tell you that the most difficult and cumbersome cases are those pertaining to love affairs and parenthood

So try to understand him and advise accordingly

Dear what I understanding that the Father of the child has a good job but He gave his baby mama a condition that he can take care the child if she will b at boarding school .. si hivyo kaka au? Sasa mama motto hataki her daughter aende huko boarding school wala kwa mama wa kufikia because she is too young. So kamuambia huyu kaka yetu wamuhudumie au amuhudumie kama mwanae, si hivyo au? Sasa tatizo ni kuwa huyu my brother haoni umuhimu ya yeye kufanya hivyo kama the biological father ana kazi nzuri. Na hii issue hata ustawi Wa jamii iliishia kuwa baba MTU yuko okay kusaidia if only the child ataenda boarding . Nieleweshe tafadhali kama sijaelewa. Naomba mnielewe siko hapa kumuandama huyu ndugu yangu . Ila kwa kusita kwake Ku take over majukumu ya child kama mchumba wake anavyomuomba ndio kimenifanya niseme hayuko tayari kufanya hivyo so asijilazimishe . Hakuna kitu kigumu kama kulea mtoto ambaye sio wako . Yahitaji Mungu, Love , Patient , wisdom , Encourage and passion . Sasa je yuko tayari to provide all that as a sacrifice? I doubt it . Because alishasema kuwa kwa swala hilo linamtia woga kumuoa huyo mama Wa watu nimeona hii from one of his answer. Sasa basi ili asijiumize ajitoe kwa huyo Dada ili ajiepushe na yote.
My dear kuna vitu vinakwepeka lakini si hivi unless uachane navyo kabisa kuepusha Shari. But hey we are different..Baba mzazi ni Wa kuondelewa pichani because there is no hope to get help from there .. Ajipange ajue nini cha kufanya .. either amuoe huyo Dada na kukaa na mtoto as mwanae or aachane na huyo Dada kuepukana na hiyo drama ya baby mama and baby daddy ... Nisamehe tafadhali kama sivyo nilivyoelewa. Hapa ninachomuonea Huruma ni child tuu ambaye hana hatia... Thanks..
 
Jamani situation yangu si katai mtoto ila nataja baba mtu awajibije yupo hi na anauwezo wa kufanya hivyo! So why should i take majukumu ya mtu mwenye uwezo na sababu za kubeba majukumu yake! Kuna wakati niliwahi kumwambia kuwa malazi na chakula na upendo wa wanangu nitsmpatia basi akamlipie karo, wanashindwana baba mtoto sasa ubaya wangu uko wapi?

My dear huyo baba ni mkatili na umeshudia we we mwenyewe . Just kitendo cha yeye kutaka mwanae aende boarding at age 4 kinaonyesha kabisa hajali huyo mtoto . its like he is paying back something to his ex kumbe unamuuza mtoto. Huyo baba hafai hata kuitwa Baba. Nani alisema baba is to put mbegu then uiache ikue yenyewe bila utunzaji? Siku zote mtunzaji ndio hula matunda hata kama ni machache .
Dear narudia tena kama unasuasua kuingia kwa hii situation acha dear usijiliazimishe . Lakini kama unaona unaweza au utaweza kaa chini discuss na mwenzio weka mambo yote mezani . Achana kujiumiza kichwa na mtu ambaye sio responsible and you are already know it . Why wasting your time ? Kama kuoana muoane msonge na Maisha. Kama kuachana muachane before its too late . Ila think very well before you make decision. Mimi binafsi nisingependa mtoto akuzoee na kukuita Baba halafu baada ya muda unaondoka hii itamuumiza sana tena sana . So please try to decide as soon as possible . Thanks.
 
Kaka oa tu umstiri huyo binti, Ila mshauri vyema juu ya kumpeleka huyo mtoto wake Boarding. Kutasaidia kuondoa malumbano kati yake na Mzazi mwenzie.
 
Chukua simu yake, delete namba zote kwenye simu! chukua sim card vunja, baada ya hapo mnunulie simcard nyingine halafu mkaishi maeneo ambayo jamaa wazamani hajui napiga marufuku mawasiliano baina yao, kubali kumlea mtoto haina tabu nimalaika tu huyo.
 
Jamani naomba ushauri wa kujenga tu!

STORI NI NDEFU KIDOGO TAFADHALI SOMA UPATE KUNISHAURI;
Kuna mdada mmoja alitokea kunipenda mpaka akanitamkia na kwa vile mimi sikuwa ktk mahusiano wakati huo nilimkubalia ila baada ya muda akaniambia kuwa ana mtoto wa kike ambaye alimzaa baada ya jamaa mmoja kumpa mimba kisha akaitaa nilimhoji sana mazingira ya mimba kukataliwa akasisitiza kuwa aliyempa mimba alimkataa yeye na mimba yake akasema nilikuwa muungwana sikuta kutoa mimba nikaamua kuzaa na kulea mtoto.

Sasa muda ulivyozidi kwenda huku mahaba yakikokelea kama treni la makaa ya mawe tulijikuta kwenye mahaba mazito sana. Ila mimi sikutaka kuwa mvivu wa kufikiri nikazidi fuatilia juu ya mtu aliyezaa naye baada ya muda nikaja kujua kuwa yule mzazi mwenzake alikuwa mchumba wake ambaye alifikia hatua ya kutoa mahari na kabla ya ndoa ndipo akawa amezaa naye mtoto huyo.

Safari ya mahaba haikusimama kwangu njiani humo humo nikaambiwa aliwahi kuishi na huyo jamaa na baada ya muda jamaa alibadirisha mwelekeo akaamua kuoa mtu mwingine. Nili hoji kama hadi ulilipiwa mahari wewe si mke wa mtu akakataa katakata kuwa yeye walikubaliana kuachana yule bwana akaja nyumbani kwao akutaka urudishiwe mahari yake alimua kusamehe akaandika barua kuvunja uchumba.

Kesi ya mtoto, jamaa anaonekana akumkataa mtoto ila walishindwa kuelewana jinsi ya kumtunza mtoto baba mtu anataka mtoto amchukue na mama mtu kakataa kwa madai mwanae atateswa kwa madai yule mke aliyeolewa alisha sema hamtaki huyo mtoto pale. Baba mtu akasema hatatoa ata senti kumtunza mtoto akiwa na mama yake alitia madai kuwa sasa hivi mtoto ana miaka mi 4 akasome boarding awe analipa huko mama hataki.

Sasa picha yangu na huyu mdada ikaanza hivi nikamwambia mbona uko kinyume na maelezo yako ya mwanzo kumbe mtoto baba yake anamtaka wewe tu ndiyo hutaki! Akaanza kulia na kunimbia kuwa yeye ni yatima hana baba wala mama amekuzwa na mjomba wake baada ya wazazi wake wote wawili kufariki.

Anadai eti yeye amekuwa kwa shida sana na hivyo akimwachia mtoto wake atateseka tena kama yeye. Anachodai kwenye mahusiano yetu nimuoe yeye na mtoto wake yaani hataki mtoto wake aende kwa baba yake nikimuuliza vipi mtoto atahudumiwa maana baba yake kagoma hawezi kumhudumia anasema huyu naye tutamhudumia kama wanetu wengine tutakaojaliwa na mola.

Mimi nikiangalia kuhudumia mtoto ambaye ana baba yake tena anakazi nzuri kiukweli napata ukakasi mara ya mwisho wamepelekana Ustawi wa jamii jamaa kakomalia msimo wake.

Naombeni ushauri wenu, stori ni ndefu, ila mwenzenu ndiyo tayari niko kwenye mahaba mazito sijielewi tena.

MAHABA NISHIKE NIFINYANGE NIPIGE GWALA NINYONGE MPAKA NIKUFE KABISA...!

ushauri wangu.. ukipenda boga, penda na ua lake
 
Mimi hapo sioni tatizo kabisa, wapo watu wanapewa kabisa na watoto moja kwa moja na majina yanakuwa ya baba wa kambo. Unajua katika maisha kuna vitu vinakua vigumu sana kumeza, lakini kama ushaamua kuoa, mi sioni shida, mchukulie mtoto kama mwana familia yako.

Isije kuwa baba wa mtoto ndio mimi we jamaa, teheeee
 
Chukua simu yake, delete namba zote kwenye simu! chukua sim card vunja, baada ya hapo mnunulie simcard nyingine halafu mkaishi maeneo ambayo jamaa wazamani hajui napiga marufuku mawasiliano baina yao, kubali kumlea mtoto haina tabu nimalaika tu huyo.

Good advice .. Je yuko tayari kupokea bila huo mkakasi alioutaja ..? .. Thanks ..
 
Haya mambo ya kuhangaika mapenzi na wazazi mimi yalishanishinda wakati kuna wengi hawana watoto hawana stress kama hizi
 
Excuse me are you talking to me ? Is this thread is about me or is about the person who wrote it . My dear too bad it wasn't about me who brought this thread, if it was me I believe I would handle it very well . I wouldn't beg a guy to help me to take care of my child never trust me .. That's why I work hard and never depend no human being for the bread except God.. ..
So if you have stress please take it to somewhere else not to me... look at you ..You got some personal issues with me ..Guess what I have none . You seem don't even know what are you talking about , none sense .. I forgave you anyway ..Have a good life . Be blessed. Thanks..

Shida yako unajiamini kipumbavu...! Unaongea huku mind yako haiko balanced ushauri wako wa kislani hauwezi ondoa tatozo km hili ukumbuke uhusiano ni maridhiano wala si lazima kumwekea mtu matakwa yako hata km hayatki, kama yeye alijua mtoto anautata kwanini mwanzoni adanganye mtoto alikataliwa na baba afu badae yanaibuka mengine? Kiufupi makosa mkisha yafanya nyie wanawake huwa mnatafuta sympath ya watu kwa kuongopa na kulia au sometime mnajifanya mnajazba.
 
I dont think you totally comprehend the situation and the meaning of love..as I have understood the guy, he loves the woman...but you should take time to consider that the issue doest not begin and end with his love..there are other parties involved..so the way you go about it attacking the guy is purely inconsiderate

The guy is not attempting to avoid helping the woman..but there is a clear daylight between helping the needy and taking responsibility of the issue emanating from misunderstanding between co-parents...and anyone will tell you that the most difficult and cumbersome cases are those pertaining to love affairs and parenthood

So try to understand him and advise accordingly

Mkuu well said....! Trully seemed you have understood where i have been facing difficulties. Ts simple like that i had no any hesitation with this Angel (kid) and i'm really willingly to help in some matters like nimemkubalia mtoto atakaa kwangu bure, ale bure na alale bure pia nitampenda ka watoto wangu wengine ila nikamwambia basi baba yake atake Care some basic responsibilities km kumlipia karo ya shule na matibabu makubwa but still hataki.

Juzi kati dogo kauugua jino analala analia mama hana pesa nikaona huruma nikamlipia more than 30000 thsands akatibiwa sasa najiuliza why huyu baba agome kuhudumia mwanae huku anauwezo wa kufanya hivyo. Kiukweli inaumiza sana.
 
Kaka oa tu umstiri huyo binti, Ila mshauri vyema juu ya kumpeleka huyo mtoto wake Boarding. Kutasaidia kuondoa malumbano kati yake na Mzazi mwenzie.

Shida mkuu its like wanatunishiana misuli na huyo mzazi mwenzake akili ya mama mtoto hataki kabisa baba aje kumchukua mtoto wake so anakazimisha yule baba asitambulike wakati huo huo mtoto anatambulika kwa jina la baba yake, na pia kuna tukio la baba alijaribu kumwiba mtoto so baba anamtaka mwanae ila siyo kumhudumia akiwa mikononi mwa mama. Sasa mama mtoto anataka nichukue tu majukumu sasababu tu yeye na baba mtoto wameshindwana.
 
Mimi hapo sioni tatizo kabisa, wapo watu wanapewa kabisa na watoto moja kwa moja na majina yanakuwa ya baba wa kambo. Unajua katika maisha kuna vitu vinakua vigumu sana kumeza, lakini kama ushaamua kuoa, mi sioni shida, mchukulie mtoto kama mwana familia yako.

Isije kuwa baba wa mtoto ndio mimi we jamaa, teheeee

Hahaha...! Mimi angekuwa baba kafariki, kamtaa siye wake au anaumwa hawezi kumsaidia hapo mbona sawa! Ila sasa yupo mzima anauwezo w kufanya hivyo shida jeuri tuu!
 
Humpendi huyo mwanamke...unapenda ngono kwake...Ungekuwa unampenda hili ni jambo rahisi kuzidi yote....Shida iko wapi kumchukua mama na mtoto?
 
Humpendi huyo mwanamke...unapenda ngono kwake...Ungekuwa unampenda hili ni jambo rahisi kuzidi yote....Shida iko wapi kumchukua mama na mtoto?

Jamaa yangu unarahisisha mambo wewe!
 
kama unanyongo yakuvumilia mtoto akiumwa wazazi wakae pamoja endelea ila kama hina nyongo dada achague kimoja.
 
Back
Top Bottom