Anataka nimuoe na mtoto wake

Anataka nimuoe na mtoto wake

Kama baba mtoto anataka kumpeleka mwanae boding mshauri mchumba wako akubali.Kama vipi jaribu kwa kujifanya wewe ndo unataka kumpeleka boding angalia pumzi zake kama atakubali ndo uanze kumshauri amkuballie baba mtoto wake kumpeleka mwanae bweni.
Lakini waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake.Vinginevyo ukiacha mawasiliano yao yaendelee watakuwa wanakumbushia enzi.Mpende mtoto wa demu wako.

Boarding mtoto wa miaka minne jamani? C`mon, have a heart my dear!
 
Issues kama hizi huwa hutakiwi kuweka hisia, utaangukia pua hakika nakuambia.
Huwezi mtenganisha mtoto na mamaye hata siku moja, ni wamama wachache sana wanatelekeza watoto wao. Lakini ukiamua kuishi na huyo mwanamke uljiandae kwa mengi, drama hazitaisha ndani ya nyumba coz hao ni wazazi na wanaunganishwa na mtoto.

Maamuzi ambayo ningechukua ni kuachana na huyo mwanamke. Wengi wanajuta...
 
Unafikiri wewe unamjua vizuri huyo mwanamke kuliko huyo jamaa ambaye amezaa nae,lakini kama haitoshi pia na mahari alishamtolea,ila akamuacha??...lakini pia hujiulizi kwa nini ni muongo muongo,maana maelezo yake ya awali kuhusu mtoto na huyo jamaa yanapingana vikali na maelezo ya mara ya pili ambayo niya uhakika 100%...

Mara zote wanawake wamekuwa ni watu wakuzungumza lugha zenye kuhitaji huruma sana kuhusu maswala ya kwa nini waliachwa,hawawez kuzungumza ukweli..

Binafsi namuona huyu mwanamke ni mtu muongo muongo sana na kwa mtazamo wangu hafai..
 
Kwanza nikuombe samahani kwa ushauri wangu. Pili nikushauri kuogopa akinamama ambao wana watoto maana huwezi kuoa mtu na mtoto. Tatu mtoto kama ni wa kiume akikua takuchapa tu na ndiye atakuwa chanzo cha kuachana na mkeo. Nne mtoto na mzazi wake ni kidole na pete unaweza kuivua ila huwezi kuiacha aslani, nina maana wewe tunza lakini mwisho wa yote atarudi kwa baba yake tu

One very good " fundisho" brother !
 
Pole, ni rahisi sana! Baba wa mtoto Ana wajibu wa kumtunza mtoto hata km hayupo mikononi mwake, na ustawi hawawezi kukubaliana na baba kugoma kumtunza mtoto kisa hayupo kwake, unafahamu kuwa sheria ya mtoto inakubali mtoto akae na mama hadi miaka 7 alafu mtoto mwenyewe achague km anataka kwa baba au mama. Suala la mamake kukataa ofa za baba kwa mtoto ni YEYE MWENYEWE ATAKUWA NA SHIDA ZAKE.. WEWE MWEKE WAZI MKEO MTARAJIWA KUWA UNAHISI UKAKASI KUMTUNZA MTOTO AMBAYE ANA BABA YAKE!! BABA MTOTO ATAMCHUKUA AKIWA MDOGO HIVI JSA KUMUIBA AS U KM ILIVYITOKEA KWA MH, SUGU.

Tayari imetokea situation ya namna hivyo baba alisha jaribu kumuiba.
 
Unafikiri wewe unamjua vizuri huyo mwanamke kuliko huyo jamaa ambaye amezaa nae,lakini kama haitoshi pia na mahari alishamtolea,ila akamuacha??...lakini pia hujiulizi kwa nini ni muongo muongo,maana maelezo yake ya awali kuhusu mtoto na huyo jamaa yanapingana vikali na maelezo ya mara ya pili ambayo niya uhakika 100%...

Mara zote wanawake wamekuwa ni watu wakuzungumza lugha zenye kuhitaji huruma sana kuhusu maswala ya kwa nini waliachwa,hawawez kuzungumza ukweli..

Binafsi namuona huyu mwanamke ni mtu muongo muongo sana na kwa mtazamo wangu hafai..

Asante kaka point!
 
Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka kwa huyo mke wake aliye naye! Ugomvi ukazaa kuachana

Alikuambia....nawe ukamuamini!! Mbona huyo mchumba anaonekana muongo, au wewe hulioni hilo?
 
Alikuambia....nawe ukamuamini!! Mbona huyo mchumba anaonekana muongo, au wewe hulioni hilo?

Mkuu siyo tu nilimuuamini nilikuwa na buy time huku nikimbana na kumchunguza kwa umakini ata kumua kwenda ustawi ni mimi baada ya kumkazia na kumwambia ampeleke mzazi mwenzio huko mimi siko tayari kumlea mtoto mwenye baba yake! Cha ajabu anajutia karibu na kufa hana baba wala mama kazaliw peke yake baba zake wadogo na wakubwa walimkataa wakachukua mali zao kakulia kwa mjomba wake.
 
katasan'kaza inaelekea hapo tatizo hutaki kuishi na mtoto wa mwenzako. siri ya kumtuliza mwanamke ni kumpenda mtoto wake. angekukuta wewe na mtoto ungefanyaje ? shule za boarding kwa mtoto wa miaka minne ni hatari mno kwa makuzi ya mtoto. fuata ushauri wa mchangiaji jengele amemaliza yote
 
Tunaposhindwana ni kwenye huduma za msingi km shule, baba yake mtoto anataka mtoto apelekwe boarding la sivyo alipi karo na pia naambiwa alisha jaribu kumuiba sasa mpenzi wangu yeye anataka mimi nichukue majukumu yote!
 
katasan'kaza inaelekea hapo tatizo hutaki kuishi na mtoto wa mwenzako. siri ya kumtuliza mwanamke ni kumpenda mtoto wake. angekukuta wewe na mtoto ungefanyaje ? shule za boarding kwa mtoto wa miaka minne ni hatari mno kwa makuzi ya mtoto. fuata ushauri wa mchangiaji jengele amemaliza yote

tafadhari, naomba tujadiri dhima ya huu uzi tu, tusianze kuharibiana biashara hapa. Mnataka sisi wadau wa shule binafsi za bweni tukale wapi!?
 
To me , my child is my first priority no matter what .. You don't want to take care of my child , that means you don't want to take care of me and you don't care about me .. And if you don't want to take care of me and care about me it means you have never loved me , but you think you do because I give you what you want or desire .. In that case if there is no Love why should I keep stay or be with that person ? No reason to waste a time.. Listen I don't think so if you truly love that lady , you just love the way how she gives to you but not unconditional Love..

So please stop waste her time and confusion to that little innocent child and let them go . I believe she will get a man who knows what love is and will wipe her tears away... . Na sisi wanawake tuache kuwa ving'ang'anizi kwa wanaume wasiotaka kuwa nasi na watoto wetu.. Kwani kuolewa ni nini jamani yaani uko radhi kulazimisha ndoa kwa mtu ambaye hayuko tayari kulea mwanao , Uughh ..

Mume na mke mwema wala hatojali or kujiuliza twice to take care of you and your child.. Hebu tumuaminigi Mungu kuwa yeye huwa ndio anatoa vilivyo vyema na kujifunza kuwa Patient ili wa kwetu siye waje kwa wakati aliopanga Yeye aliye Juu.. amen.. Binafsi siamini eti unanipenda mimi but you are not ready to take care of my daughter or son.. Hivi una uhakika gani kama uko in the future you will have your own ? None sense .. sipendi watu wanaobagua kids for their own interests na kujifanya kuwapenda wadada tuu.. Kids are angels and deserve to be treat well , after all they are just need love nothing else ... ..

Thanks..
 
Katika mahusiano hakuna kitu kibaya kama ubinafsi..........
 
Back
Top Bottom