fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,109
- 19,993
We ungekuwa hutaki hata hapa usingekuja, you could have just stayed with your hard decission. Kitendo cha kuja hapa unapima upepo tu.Msimamo wangu sitaki maana naona itanipa shida nikitaka kuoa
Baki na uwamuzi wako maana kuna hasara nyingi za kuzaa na mtu ambaye tayari alishakuwa na familia tena watoto wanne.