Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

Msimamo wangu sitaki maana naona itanipa shida nikitaka kuoa
We ungekuwa hutaki hata hapa usingekuja, you could have just stayed with your hard decission. Kitendo cha kuja hapa unapima upepo tu.
Baki na uwamuzi wako maana kuna hasara nyingi za kuzaa na mtu ambaye tayari alishakuwa na familia tena watoto wanne.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,

Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.

Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.

Nisaidieni wakuu.
Mkuu una miaka 27 unaomba ushauri kwa kitu cha kipumbavu kama hicho?, yaani unaanzaje kumzalisha/kumpa mimba mke wa mtu? Kwan Mme wake hayupo? Anyway uamuzi ni wako ila nakushauri achana na mke wa mtu kabisa tena kama ulishaanza uhusiano naye wa kimapenz usitishe harak maana sio tu unaweza kupata matatizo kutoka kwa mmewe ila pia siku utakapooa mkewe ataumia akikjua tayari una mtoto nje
 
Huyo atazaa na wanaume wangapi? Make hao watoto kazaa na wanaume kwa kuwaambia maneno kama hayo.
Kwa ushauri wangu usidhubutu , mshauri aongeze kwa baba wale wa kwanza.
 
We ungekuwa hutaki hata hapa usingekuja, you could have just stayed with your hard decission. Kitendo cha kuja hapa unapima upepo tu.
Baki na uwamuzi wako maana kuna hasara nyingi za kuzaa na mtu ambaye tayari alishakuwa na familia tena watoto wanne.
Bora umemwambia ukweli.
Akamsome kwanza mange na mzazi mwenzie wanavyovuana nguo kuhusu mtoto then ajiongeze.
 
Mkuu umpatie tu hiyo mimba,huenda huyo bi dada ndio style yake hiyo,hata hao watoto wanne wamepatikana hvyo hvyo
 
Ni rafiki tu au ni mpenzi wako!! Ukitaka kuiona dunia jehanamu we mpe hiyo mimba uone moto wake
 
  • Thanks
Reactions: e2n
wana maneno matamu lengo washike hatamu,
Utakuja jilaumu dunia uone sumu,
Watakuja kuweka ngumu wataka kwao udumu,
Mie ninawafahamu lengo lao wahujumu,
Utakuja tema nyongo, kwa visa vyao visoisha...
 
Huo ni mtego mmoja wa kijinga ambao wanawake wanapenda kuutumia kuwanasa wanaume. Watoto wanne na huyo wako atakuwa wa tano awahudumie mwenyewe huo ni utani. Jiandae kuwa baba atakae kuwa anahudumia mke na watoto watano.
Hata km atawahudumia mwenyewe hapo analazimisha ndoa nawewe.
 
  • Thanks
Reactions: e2n
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom