Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

Usithubutu kuzaa nae anakurubuni baadae majukumu yatakuja kwako kwa lazima.
 
We mpe hiyo mimba alaf akizaa ndio utajua kama mtoto atalea yeye au wewe.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,

Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.

Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.

Nisaidieni wakuu.
Miaka 27 yote umeishi duniani bado hujui unataka nini?
 
Anakuzidi umri na ana watoto 4 ambao siyo wako!!!!..... Anatafuta security huyo wala hana mapenzi ya dhati.

All in all, Mungu hapendi zinaa!!!
 
Ana watoto wa4 we unapiga tu, achana nae huyo hata ujanja inaonekana anakuzidi, atakubambikia mtoto kuwa mwangalifu.
 
Si alee aliokuwa nao! Kajua anauwezo wa kukumudu kuhusu matumizi ndo maana anakubembeleza umpe kid

Kimbia vbaya mnooo
 
Back
Top Bottom