Anataka nauli ya ndege

Anataka nauli ya ndege

Dogo mchumba anabembelezwa, acha ubabe. Ndege ni usafiri wa kawaida, Mume wangu enzi hizo tukiwa wa wachumba, monthly nilikuwa natua Mtwara na PW 720 tunakula bata weekend then narudi zangu chuo. Uwe mzalendo, kweli safari yote na Super Najimunisa from Mwanza mpaka Dar masaa 18?. Wakati Airbus ni saa 1 tena kupitia Knjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahili halafu anataka vitu vizuri. Kama huna hela piga puchu ndo bure
 
Mpige block kila angle ya simu anayoweza kutumia kukupata, then mlipoti takukuru, msingizie chochote
 
huyo ulimkosea toka mwanzo, inaonekana ulimwonyesha una pesa mwanzoni, hivyo anajua nauli unayo ya kumpandisha ndege, ulimtongoza kipredeshee, kama unampenda mtumie tu hiyo tiketi ya ndege, na mama ako amemuonea wapi huko mkoani au ?
Nilikutana nae huku dar ndo akafahamiana na bi mkubwa lakn kwao ni mkoani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvi, heri ya pasaka kwenu.

Jamani maisha haya basi tu, nna mchumba wangu mdada mmoja hivi yupo mkoani na uchumba wetu una kama miezi mitano, sasa mimi huwa naenda sana kumuona huko mkoani na mara zote huwa natumia usafiri wa bus kutoka Dar kwenda huko anapokaa(mkoani). Tatizo lilianza pale alipo sema anataka kuja kunisalimia dar, nikamkubalia poa lakini akanipa masharti kwamba hawezi kupanda Bus kwaiyo anataka nimtumie nauli ya Ndege, ukweli kwa kipindi hicho nauli ilikua juu sana, nikamwambia sina hela afanye aje na Bus tu akajibu hawezi banda Bus maana akipanda huwa anahisi kuumwa, nikamwambia basi asubiri nipate hiyo nauli ya ndege!, amesubiri ameona miezi inaenda hela hatumiwi, akaamua kuniambia nimpe niliyo nayo yeye ataongezea nikamwambia kila siku anapanda mabus leo inakuaje asipande akanijibu wewe ni mchumba wangu na unafanya kazi siwezi panda bus wakati wewe upo, nikamwambia mimi sitafuti pesa kwa ajili ya kupanda ndege na kuigiza maisha , baada ya kumwambia hvyo akaninunia kama wiki moja hivi, badae akaanza kujiongelesha tena, sasa juzi kakumbushia tena, anataka kuja kunisalimi Pasaka na anaitaji nauli ya Ndege nikamwambia msimamo ni ule ule sina hela, baada ya kumwambia hvyo alituma msg ndefu sana anaeleza jinsi anavyo lipambania penzi letu na kulijenga, nikamjibu tu kama nauli ya ndege inajenga penzi basi bora libomoke tu ila hela ya ndege sina.

Nimenuniwa tena, nikaona napata pressure bure nimemwambia motive yake nimeiona anatafuta sababu na asitumie nguvu nyingi anaweza fanya maamuzi yoyote mapema na nipo tayari kuyapokea.

Ukiacha haya mambo kila ijumaa huwa namtumia hela ya vikoba hapo acha vocha na hela nyingine na huwa sioni hela yake ya vikoba inapo enda wakigawana huwa ananiambia tu tumevunja kikoba wiki iliyo pita ila hela sioni hata akifanya biashara inshort hela yake haionekani.

Pia kinacho mpa kiburi ni kwamba mama angu anamkubali sana, sasa kupitia hicho kigezo anadhani amenikamata.

KWA KIFUPI NIMEMWAMBIA HAKUNA NDEGE WALA MAMA AKE NA NDEGE APAMBANE KWA HALI LIYO ANAYO SIPENDI UPUMBAVU MIMI.

Pasaka njema.
Wewe ni nani?, wewe ni Boya.... Wewe ni ndezi mkubwa

Hivi unajua unatusumbua kwa vitu vya kinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo mchumba anabembelezwa, acha ubabe. Ndege ni usafiri wa kawaida, Mume wangu enzi hizo tukiwa wa wachumba, monthly nilikuwa natua Mtwara na PW 720 tunakula bata weekend then narudi zangu chuo. Uwe mzalendo, kweli safari yote na Super Najimunisa from Mwanza mpaka Dar masaa 18?. Wakati Airbus ni saa 1 tena kupitia Knjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo pesa za kumpamdisha ndege mchumba unafikiri kila mwanaume anazo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom