miss blasia
Member
- Apr 1, 2017
- 59
- 68
Na baada ya hapo huwa anaenda kukaa kwa baba kama mama anashindwa kumpa huduma mwenyewe na anahitaji msaada wa babaTafuta mwanasheria
ninavyojua mtoto chini ya miaka kumi anatakiwa kukaa na mama
unless kuwe na sababu zingine
anzia pia ustawi wa jamii
Na unaanzaje kushindwa kumlea?pambana tu na utafanikiwaOk The boss thanks,nilikaa kimya nikawa nafanya yangu,lakini naona kila leo kauli yake ni hiyo ya kumchukua mtoto.Je alivyonitelekeza nikaaibika asijulikane baba wa mtoto hata kwa majirani kipindi chote hiko,anaona si hoja.Nadhani ni wakati sasa nifanye maamuzi magumu.sijawahi mnyima kumwona mwanae ila kumchukua aache nikishindwa kumlea nitamkabidhi mwenyewe bila shuruti
Unafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitamboHuu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.
Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu
Wee m bayaKaa na mtoto wako, usimpe
Vilevile wakat huyo baba anagoma kutoa matunzo ya kuhudumia mwanae yy hakua mbinafsi?Huu ndio tunauita ubinafsi, mtoto mlitafuta wote alafu unatumia neno my prince inamaana ye hamhusu? Kukataa kulea haitoi uhalisia wa ubaba wake na umiliki wa huyo mtoto.
Ushauri wangu tafuteni sehemu tuliivu mkiwa wawili mjadili hatma ya huyo mtoto na jinsi ya kumlea nina imani hakita haribika kitu
Hata umwambie nimekufa nimeoza bado atabaki kuwa mwanangu, utanitenganisha nae tu lakini uhalisia utabaki kuwa ni damu yanguUnafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitambo
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.Vilevile wakat huyo baba anagoma kutoa matunzo ya kuhudumia mwanae yy hakua mbinafsi?
Kuna sababu nyingi nyuma ya pazia you never know, tatizo lenu akina mama wagumu kuelewa mnataka kila mnachokitaka kifanyike kwa wakati huo, mtu akikuambia kafulia ujue kafulia kweli.
Tatizo lenu jambo dogo tu mnalikuuuuza, kwahyo ikitokea baba leo hana hela ya matumizi hata kesho hutamuomba?Yes mwache amuite my prince. Huyo baba hana nafasi alitelekeza mtoto kwa roho yake ya ubinafsi halafu aje kumtaka mwanae kwa Muda anaotaka yeye. Huyu mwanamme ni zaidi ya mshenzi. Mama husiruhusu mtoto wako achukuliwe na ile dudu, mlee mwenyewe mwenyezi Mungu atakubariki tu.
Kama hakutoa mahari na hakuoa mwanasheria hatasaidia.Tafuta mwanasheria
ninavyojua mtoto chini ya miaka kumi anatakiwa kukaa na mama
unless kuwe na sababu zingine
anzia pia ustawi wa jamii
Hii huruma huruma ndio inafanya watudharau. Lea mtoto wako dada. Usiruhusu akamchukua. Km vipi subiri akue atamtafuta baba yake mbele ya safari.Dada zetu bwana.
Kwahiyo hapo unasema mtoto ana baba wakati hajawahi toa hata kilo moja ya sukari ya uji wa mtoto.
Ningekuwa ndio mimi huyo jamaa asahau kama ana mtoto.
Ila dada zetu mna huruma sana.
Yaani anataka kumfanya dada wa watu mashine ya kutotolea!Nenda onana na ustawi wa jamii.
Huyo mwanaume tena anakudharau balaa eti " kama ni mtoto mwingine nitakupa "?????
Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc
Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.
At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.
Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.
Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.
Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).
Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .
Ha haaa ndugu. Kuna watu hawana mishipa ya aibu. Kuna mtu namjua fika anaenda kumuona mtoto wake hampelekei hata pipi na hapo hajamuona miaka mitatu.Huyu nae Maelezo yake hayajitoshelezi, kasema jamaa hatoi Hata kumi mara huwa anakuja kumona mwanae simkataliagi,, anakujaje kumona mtoto nakuondoka asitoe hata mia???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mkali jomoni!
Yes,panapo uzima na afya naweza,manake maisha anapanga Mungu hatujui ya kesho.Ndio sababu nimemwambia asubiri akue afate taratibu za kisheria.Unao uwezo wa kumsomesha hadi chuo kikuu? Ukinijibu kuna jambo nitakwambia
Hataki kutoa chochote na hajawahi fanya hivyo.anachofanya ni kusifia tu mtoto kakua na kanawiri,utadhan muujiza.Kwanza mimi endapo umezaa na mimi halafu hatujaoana poa ila uhakikishe matumizi ya mwanao unatuma kama hutumi mawasiliano na mimi sahau hadi ufe, mwenye damu yako humtunzi unaanzaje kunizoea mimi ni ndugu yako?? Subiri aote ndevu mkutane barabarani maana hata upige simu na sms mara 10000000 sipokei sijibu hadi uwe responsible father tena awamu hii ya tano ni #hapakazitu# [emoji2] [emoji2] [emoji2]