Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nina rafiki yangu wa kike ambaye nimefahamiana naye miezi saba iliyopita,ambaye tumekubaliana kuoana.Kwa kipindi chote tumekuwa tukitembeleana na kuchat bila kufanya mapenzi.Hivi karibuni tumeanza kufanya mapenzi.Lakini kila mara amekuwa akinilalamikia kuwa simfikishi safari yake.Chakushangaza wiki iliyopita ameniambia kuwa ili nimfikishe safari yake basi nimfanye kinyume na maumbile kwa kuwa ndivyo alivyozoea lakini mimi sijawahi kufanya hivyo.Je mnanishauri nifanyeje?
Muoe tu, na wewe akuzoeshe taratibu ili mfikishane vizuri iyo safari yenu ya kwenda motoni.

Mwana kimbiaaaaaa!!! Anakutafutia Kansa ya kibofu na kukuziba pipe huyo! Unamuoa muishi milele, so kila siku utakuwa na kazi ya kuzibua choo? Mwache akafirwe na wengine
Mmh...... Mapenzi ya sikuhizi majaaaaanga!!!!! Hayapimiki hata kwa mizani.
Ushauri wangu ni bora uachane naye huyo ameshazoea kubinuliwa pande zote atakushinda!!!!!!! Mbona mbele kutam, kwani shida iko wapi jamani...... Aaaaaah!!!!!!!!!
Tafuta wa dizain yako, huyo ana wenyewe!!!!!!
Umempa jibu shahihi huyu muasherati mkubwa! Ngono tena zembe kabla ya ndoa? Halafu ni mvivu wa kufikiri maana anaambiwa amezoea kinyume na maumbile naye hastuki tu. Hao wliomzoesha wapo au wamekufa? Kama wapo amewaachaje? Kama wamekufa je sio UKIMWI? Awe mwangalifuMuoe tu, na wewe akuzoeshe taratibu ili mfikishane vizuri iyo safari yenu ya kwenda motoni.