Anataka kuterminate ujauzito.

Maneno tu haya
Nyie ndio mnaotukana singo maza daily

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikwambia uthibishe utaweza?
Akitoa hiyo mimba hatakuwa single mother?
Bikra itakuwepo na atarudi kuwa binti?
Wewe binafsi una miaka mingapi?
Je, kama mama yako angetoa mimba yako ungekuja kuandika haya unayoyaandika humu?
Je, alipomvulia chupi huyo jamaa mpaka akanasa alitarajia nini?

Kama hakutaka kosa la mwanzo lisijirudie kwa nini asingetulia mpaka atakapoolewa?

Nikisema wewe ni mpuuzi nitakuwa nakosea?
(Mpuuzi ni mtu asiyetaka kuelewa)

Humu jf mpaka wanawake wenzio wanakupinga lakini wewe bado unatumia nguvu nyingi kusimamia unachokiamini kisa umempata malaya mwenzio anayekusurpport ujinga wa kutoa mimba, nikisema akili zako zipo kwenye **** nitakuwa nakosea?
 
Kwa hiyo watu wakikucheka wewe unakufa au? Maana naona unajali sana judgements za walimwengu, nashangaa na huyo wa kwanza hakumtoa akakubali kuwa singo maza . Kama vipi mwambie amuue huyo wa kwanza afu amzae huyu, so atakuwa singo maza of one, right?
Exactly
Wanajidai kusapot azae ili badae wambeze na kumcheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo watu wakikucheka wewe unakufa au? Maana naona unajali sana judgements za walimwengu, nashangaa na huyo wa kwanza hakumtoa akakubali kuwa singo maza . Kama vipi mwambie amuue huyo wa kwanza afu amzae huyu, so atakuwa singo maza of one, right?

Just wasting your time, huyu dakika hii tunayoongea aloshatoa, so kaja hapa kufanya justification ya hilo tendo na kupata sympathy.
 
Mwanamke wa tatu kunikosha/kunifurahisha/anayejitambua/mwenye akili jamii forums
 
We mbona unareact hivo?
Kuna msichana ulimpiga mimba ukamtelekeza nn?
Then akatoa mimba yako,poleee
Relax,drink tea and be happy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....Na kutokana na experience mbaya ya baba mtoto wake wa mwanzo,katika kuonyesha ushirikiano wa malezi,bibie ameamua kutoa.Uwezo wa kulea alone anao ila anasema alipitia experience mbaya sana ambaye imemwathiri kihisia na anahofu yasije jirudia.

Acha kuishi wakati uliopita, jifunze kuishi sasa...

Wakati uliopita siku zote ni mwalimu wa wakati uliopo, yes inawezekana alikutana na experience mbaya na pengine ilikuwa mbaya kwa kuwa ilikuwa ni mara ya mwanzo kukutana na aliyokutana...

Sasa kwa nini wakati huu asiutumie ipasavyo kuishinda hiyo experience mbaya ya mwanzo badala ya kuwa mtumwa kwayo!!!

Hivyo anaomba ushauri;

Je amwambie mhusika?

As long as mimba ni ya watu wawili, amueleze mwenzake...


Binafsi nimemshauri atoe mostly kutokana na lugha za kudhalilisha humu jf kwa single parents na jinsi jamii inavyowanyanyapaa single female parents.

Kamwe mtu yoyote hapaswi kuishi ili kuwa please watu wengine, maana kila mtu alikuja duniani peke yake na atarejea kwa mavumbi peke yake...

Siku zote watu walio wa kwako watakuwa nawe na wasio wa kwako watataka kukushusha chini, hao ni wa kuwapuuzia tu maana sio watu wa kwako...
 
Kweli nafsi inamsuta so anatafuta justification. Anyway sisi still tutaongea tu, mwisho wa siku maisha ni yake na chaguo ni lake.
Just wasting your time, huyu dakika hii tunayoongea aloshatoa, so kaja hapa kufanya justification ya hilo tendo na kupata sympathy.
 
Ok ntamwonyesha hii comment yako aisome ,then afanye maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo akitoa mimba ndio tatizo la kunyanyapaliwa litakuwa limeisha? Halafu hujiulizi jamaa yake akija kubaini kuwa alitoa mimba km mahusiano yao yatakuwa tamati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hatakiwi kuishi kwa kumwangalia Mwanadamu anasema nini anafanya nini ni maisha yake yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…