Anataka kuterminate ujauzito.

Anataka kuterminate ujauzito.

Mshahara wa umalaya haujawahi kubadilika...ni mimba au magonjwa ya zinaa so endelea tu na kutoa kama mazoea yalivyo sio kutafuta public sympathy hapa...eti "ni rafiki yangu"!
 
Mbona kibao wanatoa?kwahiyo wengi ni masingo maza mjini huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unalielewaje neno 'single parent'?
Huyo rafiki yako tayari ana mtoto na ni single parent.Hivyo ushauri wako kwamba akiitoa hatakua single mother hauna mashiko.Pia, maswala ya kushauriana kutoa ujauzito sio busara, ni bora usishauri kitu.Pia, kama wasiwasi wake ni matunzo ni bora angemshirikisha huyo jamaa kwanza kabla ya kuwaza kutoa.Sio wanaume wote wanawatelekeza watoto wao.
 
Kukataa mimba ni ufala kuliko maufala mengine yote.....hata nijue kuwa nimebambikiwa mimba isiyonihusu ila siwezi kukataa,nitalea mtoto akifikia umri fulani tunapima DNA maisha yanasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna sheria ya kuwafyekelea jela wahusika wa kutoa mimba

Nadhani hiyo sheria ipo, lakini ni swala gumu sana.

Hii issue ni headache dunia nzima, kuna baadhi ya nchi wameharuhusu.
 
Back
Top Bottom