Anataka kuterminate ujauzito.

Anataka kuterminate ujauzito.

Inasikitisha, mwanaume kumkimbia mtoto wake. Lakini pia inasikitisha sana mwanamke kutokuwa makini na mwili wake, kama abstinence imemshinda kwa nini asitumie kinga ili asipate mimba.

First time tunaweza kusema sio kosa, lakini kuruhusu mimba ya pili kwa mtu asiye mume ni kosa.
Si waona alafu washauri azae?
Atoe tu hakuna mtu anapenda lea watoto peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akatoe tu
siku hizi kuna wataalam wazuri tu
vijogoo vya siku hizi havilei watoto na tena watamtelekeza haswa
inategemea na umri, uzuri na sura aliyonayo km ni over 35 ndio ujauzito unafikia ukingoni
km yupo 25yrs and above atapata mwenza tu
Asante
Hebu nitajie wataalamu hao walipo nimshauri ,atoe fasta kabla haijakuwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi binti ana mtoto mzuri tu wa kiume 4 years now. Ni single parent na amekuwa akilea that boy alone since mimba till today. Baba mtoto alitelekeza mimba hadi mtoto,ingawa saivi anadai mtoto,ambaye kiuhalisia hawezi pewa.(kwa mujibu wa muhusika)

Point ya thread ni kuwa bidada amepata ujauzito mwingine wa mwanaume mwingine,mwanaume hajui kama bidada amenasa.Na kutokana na experience mbaya ya baba mtoto wake wa mwanzo,katika kuonyesha ushirikiano wa malezi,bibie ameamua kutoa.Uwezo wa kulea alone anao ila anasema alipitia experience mbaya sana ambaye imemwathiri kihisia na anahofu yasije jirudia.

Hivyo anaomba ushauri;

Je amwambie mhusika?

Au asimwambie na aitoe tu kimya kimya kuepuka drama kama za awali na first baby dad plus maumivu ya kipychology alopitia before?

Binafsi nimemshauri atoe mostly kutokana na lugha za kudhalilisha humu jf kwa single parents na jinsi jamii inavyowanyanyapaa single female parents.

NB;anasema alikuwa anatumia p2 kuzuia mimba toka ameanza mahusiano na huyu Mwenye mimba wa pili about a year ago,its just this time around kanasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tell her to avoid abortion please, maana yamungu nimengi mkuu, we muelezetu madhara ya abortion ikiwemo kupoteza uwezo wa kuzaa kwa mara nyingine tena:

Istoshe mtu azaliwapo huzaliwa na bahati yake, huwezi jua huyo mtoto akikua/ akizaliwa atakua nani ndani ya jamii yetu,

Plz over plz mshauri aache, kama anao uwezo wa kuilea mimba jamani kwanin aitoe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto ni baraka Kama anauwezo wa kipato wa kulea azae. Hizi kelele za Jf za single parents huwaga naziona changamsha genge kwangu huwa hazina uhalisia hata robo kwenye maisha yetu halisi ya kitaa.
 
Tell her to avoid abortion please, maana yamungu nimengi mkuu, we muelezetu madhara ya abortion ikiwemo kupoteza uwezo wa kuzaa kwa mara nyingine tena:

Istoshe mtu azaliwapo huzaliwa na bahati yake, huwezi jua huyo mtoto akikua/ akizaliwa atakua nani ndani ya jamii yetu,

Plz over plz mshauri aache, kama anao uwezo wa kuilea mimba jamani kwanin aitoe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamtoagi kauli hizo mkiwa mnawatukana na kuwadhalilisha singo maza humu jukwaan?ushahid wa hayo umo humu lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wametoa mimba wakidhani ni solution ya matatizo yao ilihali wamejikuta wakiugua matatizo ya kisaikolojia na kimwili ukiwemo msongo wa mawazo. Nimeshauri sana wadada wengi wasije kujiingiza katika mchezo huu, wengine walisikia na wanashukuru sasa hivi wakiangalia wanao wanalia kwa nini walitaka kuwaua. Wengine walikaza shingo zao sasa wanajuta.

Kila jambo lina matokeo hasi na chanya. Ukitenda hasi ujiandae kupokea hasi. Dhambi/uovu huwa una tabia ya kujizidisha. Huyo mwanamke akubali kuwa alirudi kwenye uzinifu na hayo ndiyo matokeo. Ajikaze kwani daima kuna nafasi ya kujirekebisha. Mara nyingine tunajifunza kupitia makosa yetu na si aibu, aibu hiyo huja tukishindwa kujirekebisha. Nawe mtoa post usimuharibie mwenzako maisha. Akitoa mimba akafikwa na mauti ama kizazi kikaharibika ama akabakia na maumivu ya kudumu ya tumbo baadae yakazaa cancer utafurahi???? Tujifunze kujenga wenzetu na si kuwabomoa.

Na mwisho niwashauri dada zangu kuwa muache vidonge vya uzazi wa mpanga. Hii ni biashara inayowatajirisha watu wachache na daima hawawaambii ukweli. Laiti mngejua mnavyoangamizwa msingetaka hata kuvisikia. Mwili wa binadamu umeumbwa ukijiregulate wenyewe na si kutumia external force. Tumeshapoteza asili yetu kwa kujifanya wajuaji. Hatujiulizi wanyama wasio na utashi kwanini wanapata mimba katika muda sahihi na wanatunza watoto wao katika namna asilia???

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si waona alafu washauri azae?
Atoe tu hakuna mtu anapenda lea watoto peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
The thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...

Kwa sababu umesema uwezo wa kulea watoto upo, achana na kelele za watu, eti kuwa single mother kutakuumiza etc. Lea wanao, watakuwa faraja yako uzeeni.
 
Mkuu binafsi sipendelei utoaji wa mimba kama anao huwezo azae tu asitoe mimba suala la single maza sio inshu coz mambo ya kutoa mimba ni mabaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hamtoagi kauli hizo mkiwa mnawatukana na kuwadhalilisha singo maza humu jukwaan?ushahid wa hayo umo humu lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mbonaa huelewi!!! We endeleenitu kushabikia dhambi,

lakini nyongeza ya hapo kwa bahati nzuri hakuna uzi wowte hapa jf ambako niliwahi kuwa beza single mom sasa waweza ku prof hicho ulicho kisema labda, tofaut na kuni attack labda??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...

Kwa sababu umesema uwezo wa kulea watoto upo, achana na kelele za watu, eti kuwa single mother kutakuumiza etc. Lea wanao, watakuwa faraja yako uzeeni.
Hahahahaha
Wanaume wa jf bwana
Wameona shahawa za mwenzao zinaenda tumbuliwa wanatoa ushauri wa busala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikishamsikia mwanamke anasema amemshauri mwenzake atoe mimba basi picture inayojengeka akilini mwangu ni kwamba ni malaya mmoja anayejiuza huko mitaani!!!

How akatoe mimba,alipokuwa anatapanywa mapaja alichokitegemea ninini?na wewe kama mama yako angekutoa ungepata huo wasaa wa kuja kumshauri mwenzako hivi?

Pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom