Anataka kuterminate ujauzito.

Anataka kuterminate ujauzito.

Asante
Hebu nitajie wataalamu hao walipo nimshauri ,atoe fasta kabla haijakuwa kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni wewe The iron batterfly ndiye unayemsaidia?
za Moshi Majengo au bado upo Dar
hujanitajia ana umri gani na miaka mingapi
afike KCMC na kilo moja au pale Majengo karibu na kituo cha Polisi kuna ka Dispensary awa na sitini el tu
kwa Dar ni popote hata wanafunzi wa Primary wanafyatua na kurudi class sembuse wanavyuo wanazikataa
 
Plan ya kuuwa unathubutu kuita plan tena huku ukicheka?

Tatizo wanawake hamjitambui,unapokea shahawa za mtu ambaye hata hujui kama ana lengo gani na wewe kwanza huo ni ujinga second unapata mimba unawaza kwenda kutoa,hufikirii maumivu anayoyapata mtoto.

Unatakiwa ujitambue,wewe umeumbwa kama chombo cha kuwezesha uhai duniani karama yako hii usiitumie isivyotakikana,plan ya kuzuiya hili vaa chupi ya bati hakuna mtu kuona maungo yako kama ndoa hamna nyie mnajirahisisha sana halafu kibwege tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema maumivu anapata mtoto una maana gani? Let's say mimba imetunga ina week 2, unawezaje kusema huyo ni mtoto tayari? Wengine hata Primary Biology knowledge mliiruka ama? I think abortion is fair for the unborn fetus.
 
Kumbe ni wewe The iron batterfly ndiye unayemsaidia?
za Moshi Majengo au bado upo Dar
hujanitajia ana umri gani na miaka mingapi
afike KCMC na kilo moja au pale Majengo karibu na kituo cha Polisi kuna ka Dispensary awa na sitini el tu
kwa Dar ni popote hata wanafunzi wa Primary wanafyatua na kurudi class sembuse wanavyuo wanazikataa
Niko dizim Mkuu
Ana 25
Vp kwa DSM wapi wanatoa hiyo Huduma?kwan anataka kurud skul mwaka huu akachukue jiwe lake,alishaharibu mwanzo sitak arudie makosa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema maumivu anapata mtoto una maana gani? Let's say mimba imetunga ina week 2, unawezaje kusema huyo ni mtoto tayari? Wengine hata Primary Biology knowledge mliiruka ama? I think abortion is fair for the unborn fetus.
Kabisa ni fair nashangaa watu wanacatch feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shosti itampunguzia kunyanyapaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umeshawahi kuona uzi kuna singo maza amejiua au kaacha kuingia jf kwa sababu ya kunyanyapaliwa?
Humu usipoolewa utachambwa, ukiachika utachambwa, ukiolewa usizae ndo hata ndugu zako wa karibu watakusema na matusi juu. So ni uamuzi wa mtu kuamua kuifuatisha jamii au kuishi maisha yako.

Yes it won't be easy being a singo maza of two with different men, but imeshatokea, aipokee tu baraka yake. Aongee tu na huyo baba kijacho, mambo yanaweza yakawa tofauti kabisa na mnavyowaza. And yes hata ikitokea baby daddies wote wakamtelekeza, Mungu hamtelekezagi mtu, atampa neema ya kulea watoto wake vizuri tu.
 
Ili baadae uje umnange humu mitandaoni kuwa ni singo maza,ni Bomu na hafai kwenye jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pamoja na asilimia kubwa ya kukupinga lakini bado unakomalia atoe mimba!!!

Ok, mwambie amuue na huyo mwanae wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama ni single mother

UKWELI AKIWA NA WATOTO WAWILI WENYE BABA TOFAUTI ANA NAFASI YA KUOLEWA KULIKO AKIKUTANA NA MWANAUME KISHA AKAJUA KATOA MIMBA, MWANAMKE WA NAMNA HII ANAYETOA MIMBA WANAUME TUNAMCHUKULIA MUUAJI, MALAYA na majina mengine yote Mabaya unayoyajua wewe kuliko hilo SINGLE MOTHER
 
Ok, basi mshauri amuue na huyo mtoto wake wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama yeye ni single mother
Huyo wa mwanzo hawezi muua kwani alimzaa kwa upendo na jamaa aliridhia ujauzito,ila aliitelekeza mimba hadi Leo mtoto ana 4 years,very smart boy ,na aliapiza kutorudia makosa,so madamu imetokea kwanini asisolve problem kabla halijawa kubwa,apitie same humiliation and stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani pamoja na asilimia kubwa ya kukupinga lakini bado unakomalia atoe mimba!!!

Ok, mwambie amuue na huyo mwanae wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama ni single mother

UKWELI AKIWA NA WATOTO WAWILI WENYE BABA TOFAUTI ANA NAFASI YA KUOLEWA KULIKO AKIKUTANA NA MWANAUME KISHA AKAJUA KATOA MIMBA, MWANAMKE WA NAMNA HII ANAYETOA MIMBA WANAUME TUNAMCHUKULIA MUUAJI, MALAYA na majina mengine yote Mabaya unayoyajua wewe kuliko hilo SINGLE MOTHER
Utajuaje katoa mimba?
Mbona mnaoa kibao waliotoa mimba tena mnajisifu mmepata mwanamke wa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umeshawahi kuona uzi kuna singo maza amejiua au kaacha kuingia jf kwa sababu ya kunyanyapaliwa?
Humu usipoolewa utachambwa, ukiachika utachambwa, ukiolewa usizae ndo hata ndugu zako wa karibu watakusema na matusi juu. So ni uamuzi wa mtu kuamua kuifuatisha jamii au kuishi maisha yako.

Yes it won't be easy being a singo maza of two with different men, but imeshatokea, aipokee tu baraka yake. Aongee tu na huyo baba kijacho, mambo yanaweza yakawa tofauti kabisa na mnavyowaza. And yes hata ikitokea baby daddies wote wakamtelekeza, Mungu hamtelekezagi mtu, atampa neema ya kulea watoto wake vizuri tu.
Hiyo ni sawa na kubet. Pengine ana ndoto ya kuja kuolewa, sasa ni ngumu sana kupata mume wa kumuoa iwapo tayari ana watoto wawili, tena na wanaume tofauti, incase na huyo wa pili ataamua kukacha.
 
The thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...

Kwa sababu umesema uwezo wa kulea watoto upo, achana na kelele za watu, eti kuwa single mother kutakuumiza etc. Lea wanao, watakuwa faraja yako uzeeni.
Mbona unamwambia huyo mleta uzi....unahisi ndo muhusika eeeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajuaje katoa mimba?
Mbona mnaoa kibao waliotoa mimba tena mnajisifu mmepata mwanamke wa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajua tena rahisi sana, kuna jamaa yangu alimpenda msichana mmoja mzuri tu, jamaa akakolea kabisa na kutaka kutoa posa akamwambia kaka yake, kaka mtu kumtazama tu akamwambia aachane nae jama hakuelewa, akaamua kumchana huyo manzi katoa mimba jamaa hakutaka kuelewa

Kaka mtu baada ya kuona dogo haelewi akaamua kumshirikisha Bi Mkubwa, Bi Mkubwa ile kumuona tu akamwambia jamaa, "kama mimi ni mama yako mzazi na umetoka kwenye tumbo langu nasema sitakuruhusu uniletee mkwe muuaji"

Stori imeishia hapo
 
Ni heri.. Lakini mwambie watoto wake ni wa thamani kuliko hao wanaume
Atakuja kuona hapo baadae nakwambia
Akifanya makosa watoto ataua na mume hana
Atabaki peke ake hii dunia
Atajuta
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.

Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaamua kuwa mzazi, welfare ya mtoto wako ndo inakuja kwanza kabla ya yako. Mtoto hakukuomba umzae, ni wewe ndo uliamua kumleta; so give your all to that child. Kama mzazi lazima usacrifice

Sio kila ndoto kwenye maisha yetu, tulifanikiwa kuzitimiza, asipoolewa ni sawa tu, maisha yataendelea. Wapo wengi hawajaolewa na hawana hata mtoto na wanaishi na kuenjoy maisha, sembuse yeye atakayekuwa na watoto wake watakaomtia nguvu na kumpa tabasamu anapolia? Na wapo ambao wameolewa na hawana watoto, you can imagine what they are going through.

Nimeshakutana na single parents wengi tu ambao wameamua kuwa hawaoi/kuolewa, watabaki kulea tu watoto wao, kwa sababu hawana uhakika na welfare za watoto wao once wakiingia ndoani. Hata hawa naamini walikuwa na ndoto za ndoa, ila ndo hivyo. Kwenye maisha it's not all about kupata kila unachokitaka, ila ni kuenjoy kile ulichonacho. Afu kuna watu wana kibali cha ndoa, wanaolewa tu hata kama wamezaa watoto ishirini.
Hiyo ni sawa na kubet. Pengine ana ndoto ya kuja kuolewa, sasa ni ngumu sana kupata mume wa kumuoa iwapo tayari ana watoto wawili, tena na wanaume tofauti, incase na huyo wa pili ataamua kukacha.
 
Back
Top Bottom