Anataka kumuacha kisa ufupi

We nawe sio ufupi wa mwili ni ufupi wa fimbo na kama ha enjoy ana haki ya kusema hvy.
 
mwambie huyo kazini wako eti, hata Mengi ni mfupi ila Klyn ndo kafika. swali langu ni kwamba huyo kazin wako ni mzuri kuliko Klyn? kama sio basi she should consider her thinking
kwenye swala la kutafuta mwenza wa maisha ufupi wala sio facta. it seems huyo kazin wako hajakua, ana akili za ki sista duu na show off ndomana
 
haha ngoja nikacheki picha ya klyn na mengi wakiwa ote...
 
mwache aendelee kuchagua, labda atapata mwanaume anayemtaka, ingekuwa binadamu wanatengenezwa kiwandani angetoa order with her specification. we are human, no one is perfect in under the sun.
Hizi comment zingekuwa zinatoka mkituanzishia na nyuzi za kufanana na wajomba zetu ingekuwa poa sana.

Heaven Sent pamoja na kujitahidi kooote ukaenda kufanana na baba yako mkubwa!!
 
Hizi comment zingekuwa zinatoka mkituanzishia na nyuzi za kufanana na wajomba zetu ingekuwa poa sana.

Heaven Sent pamoja na kujitahidi kooote ukaenda kufanana na baba yako mkubwa!!
Hahaha wao sasa hivi wanajifanya wanaangalia "character", na wakati utawakuta wamekomaza shingo "tabia tutarekebishana". Sitaki bonge, sitaki asiye na chura blah blah blah. Ila wao na ufupi oh unakufuru Mungu, mtu hajiumbi etc. Em niache na sura ya mjomba angu, japo na me sikuichagua, ukiona haikupendezi nipotezee tu. Kisa cha kukataa kuongozana na mimi pyeee
 
Mwache aendelee kupima urefu kajua ndio haka asipouanika atautwanga mbichi,itafika muda hata huyo andunje atakuja kuonekana ni mrefu,alafu mnajisifu mnavyomchuna nahuku hamumtaki short wa watu
 
ndo mana i heartly pity him...wanaume mnapitia mengi du
Wanaume hawapitii mengi ht usimuone huruma subiri cuzo wako apoteze uzuri wake wkt jamaa yupo kwenye form au aende kwa huyo mrefu hlf achezee dudu apande mimba hlf atemwe ndo atajua advantage ya kua mwanaume na mapenzi yana siri gan
 
hivi warefu hawana mapenzi??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…