Anataka kumuacha kisa ufupi

the guy alikua mkoa na alivokuja dzm wamemeet mara mbili tu ya pili ndo kagundua ufupi,mara ya kwanza haku notice mana hatukukaa nae sana
Khaaaaaaaaaaaa.....ana sababu nyingne coz huo ufupi cdhan ndo kauonanow..tangu anamtokea na unasema kala pesa zake nyingi...so all those times hawakuwai even ku-hug anaona namzid mrefu....
 
papuchiii imepakuliwa mkuu
 
Muda mwingine unaweza ukawa umeamua kuusoma kwanza upepo mkuu. Ila it's high time sasa funguka tu kama ni wewe mkuu.
hapana mkuu mbona shida zangu kibao nimeleta hapa sembuse hili....au nawe ni andunje?
 
lugha yako tuu..mara cuzo mara kiswanglish mh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…