Anataka kumuacha kisa ufupi

mwache aendelee kuchagua, labda atapata mwanaume anayemtaka, ingekuwa binadamu wanatengenezwa kiwandani angetoa order with her specification. we are human, no one is perfect in under the sun.
 
We hujamwelewa tu mwenzio atakuwa anamaanisha urefu wa kwenda mbele
hapo kweli kutakuwa na tatizo jingine labda haridhishwi? inambidi achague nini anataka akitaka kupigwa mabao tu atafute vijana mtaani wapo wengi ina hawana kazi wala hela hawana.
 
Kuna research yoyote iliyofanyika kuthibitisha kwamba watu wafupi wana care wenza wao kuliko warefu ?
inaelekea wewe ni mfupi nini mkuu? nimeuliza tu maana kwa comment yako mhhhh
 
Siyo mbaya, ni hisia zake tu huyo dada, kama hapendi watu wafupi fine, atafute mrefu. Life is short, achague anachopenda kama ataweza kuchagua.
 
inaelekea wewe ni mfupi nini mkuu? nimeuliza tu maana kwa comment yako mhhhh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
naona mnamsakama cuzo wa watu
mwachen aende kwa anayempenda.

mimi sio mfupi wala sio mrefu
 
hapo kweli kutakuwa na tatizo jingine labda haridhishwi? inambidi achague nini anataka akitaka kupigwa mabao tu atafute vijana mtaani wapo wengi ina hawana kazi wala hela hawana.
hawajawahi kuduu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
naona mnamsakama cuzo wa watu
mwachen aende kwa anayempenda.

mimi sio mfupi wala sio mrefu
uko wapi sasa kama sio mrefu wala mfupi.

teh teh

umenifurahisha kweli
 
hiyo medium inaweza kuwa ndo mfupi kulingana na mtoa mada.

teh teh
Sawa
ni vizuri wapeana space kuliko kupeana false hopes then baadae usaliti unaingia katikati

Jamaa abak kama a friend with benefit
 
Sawa
ni vizuri wapeana space kuliko kupeana false hopes then baadae usaliti unaingia katikati

Jamaa abak kama a friend with benefit
nimekupenda bure kabisa. dunia hii huna sababu ya kuumiza moyo ya mwingine. waambiane ukweli and then wa remain good friends.

take my likes mkuu.
 
kumbe ni kweli watu wafupi wana hasira sana.

teh teh

natania tu usirushe mawe.
 
Sio kosa kwa binti kuchagua au kuweka vipaumbele vya mume anayemtaka, pesa si kitu ktk mapenzi sio siri muonekano wa mume na mke una nafasi kubwa sana ktk maisha ya ndoa na ndio maana sikuhiz ndoa hzijdumu kwani watu husahau mionekano ya wenzi wao na kushangilia fedha!
Big up to her anajielewa na anajua kuwa kupanga ni kuchagua.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…