Anataka kumuacha kisa ufupi

Tatizo sio ufupi uyo binamu yako hana mapenzi naye, mwambie amuache kaka wa watu ajitafutie mfupi mwenzie.

Ila kiukweli mwanamke mrefu kuwa na mwanaume mfupi inaboa, unaweza ona aibu kuongozana naye.
 
Wew kuwa mwelewa,,,,, JAMAA ANA KIBA100 huyo... Elewa tafsida
 
Ooooh...huyo demu aangalie Sana lakini, awe makini sana, kuna jamaa yangu hapa aliniambia kuwa huyu demu anayetaka kumuoa, aliwahi kumtamkia kuwa hamtaki kwa sababu ya ufupi wake na wakaachana, demu alidai kuwa amepata handsome boy na ni mrefu.....

Ndugu zangu, kilichompata huyu demu na huyu mshkaji sielewi, ila hadi sasa huyo demu ana mimba ya huyu mfupi,,,yaan ni hatari sana.
 
Huyo demu ni type ya wale wanaoshikiwa akili na mashosti...Pumbavu kabisa, nadhani hajui kama wafupi ni very gentle na wanapendaga kwa dhati yote tofauti na hayo marefu yasio na huruma.
Amfuate huyo mrefu akawe played hadi ashangae blood fuckkk!
 
Yaani wanawake warefu tuna shida saana! Yaani sijawai kua na mpenzi mrefu zaidi yangu. Hamna shida yoyote... Sema tu ni ile idea ya kua mwanaume akiwa mrefu zaidi yako inapendeza zaidi
Napenda mwanamke mwenye positive mindset kama yako, binafsi sijaona correlation yeyote baina ya upendo wa dhati na kimo.

Nadhani ni mashauzi tu ya watoto wa kike wakiwa kwenye maturity phase ya plc.
 

Hapo it depends na tofauti ya urefu huo, embe weka picha hapa ili tufunguke kuna mengine hayavumiliki na mengine you can still go on
 
Kwanza kupata mwanaume Mfupi halafu mpole ni bahati kubwa sana, labda huyo mdogo wako ana jengine, ufupi sio sabab ya msingi au niulize mdogo wako ana umri gani?
Jamani kwani sisi warefu na wapole unatuchukuliaje?
 
Wala, waje tu, itategemea wana package gani. Urefu mbona bonus tu
bahati nzuri huku kwetu kuna watu huwa hawajui kimo changu, mara wengine waniite mrefu mara wengine mfupi.. ila wote husema nina package nzuri.. Good morning.
 
bahati nzuri huku kwetu kuna watu huwa hawajui kimo changu, mara wengine waniite mrefu mara wengine mfupi.. ila wote husema nina package nzuri.. Good morning.
Teh package yako nzuri ndo ipi hiyo? Morning
 
Cuzo wako anaipigisha sehem nyingine hiyo ndio maana ameanza visa.

Mwambie aamshe tu,atarudi akijuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…