Anataka kuitoa!

Kama kweli anampenda mwambie huyo jamaa aende akamvishe pete ya uchumba fasta huku akifanya mpango wa kumpeleka kumtambulisha kwa ndugu zake, pia awe nae karibu akimpa ma care A, huyo dada akiona anathaminiwa hatoitoa mimba. Pia nahisi huyo dada aliwahi kuchezewa na wanaume (na player boys) siku za nyuma halafu wakamtenda na ndio maana anawaza kuitoa tu wakati si kitu kizuri.

nashukuru kwa ushauri wako endelevu ndugu yangu nitaufikisha.
 
Huyo mshkaji anauwezo wa kuilea hiyo mimba au anataka amwongezee mzigo huyu barmed
Bora barmed achomoe tu

anao uwezo wa wastani ila amependa mwanamke ambaye yeye hataki kuzaa wala kuolewa kwa sasa.
 
hiyo noma lakini hujasema kama mshikaji kaoa au vipi,kama ana mke tayari hiyo noma namshauri amueleze mkewe ukweli kama anae halafu aende akatubu kwa mwenyezi Mungu,amshauri huyu baa medi nae amrudie mwenyezi Mungu azae jamaa alee kiumbe,kama hajaoa hiyo bahati achukue aweke ndani lakini afunge ndoa baadae
 
hajaoa bado ndugu yangu tatizo ni mwanamke hataki kuolewa wala kutunza
 
Ah wanawake wengine bwana yani miguu ulichanua mwenyewe ili uisikilizie utamu wake,majibu ya utamu umeyapata unataka kwenda kutoa mimba,wengine watoto wanawatafuta kwa pesa hawawapati yeye anaenda kuwaua,mwambia huyu rafiki yako ajaribu kumrai kama alivyo mlaghai kumvua chupi basi amrai asitoe mimba.....
mods mods mods where are you? huh!
 
Sidhani kama atakuwa na mapenzi ya kweli kwakuwa amempenda kwa bahati mbaya haikuwa dhamira yake.
 
Kwa harakaharaka mimi naona yafuatayo;

Kuhusu Mimba (Kiumbe kisicho na hatia)
  • Hakina namna ya kuzuia kuuawa/kutolewa, so kifu hakipo mbali sana naye...!
  • Kutokana na mazingira, na profession ya mamaye, hata babaye hajulikani...!
  • Hata kisipotolewa, na akazaliwa salama, bado maisha yake yatakuwa ya shida kwa kukosa malezi mazuri, na hatimaye kuiga ya wazazi wake...!
Mama Mzazi (Barmaid)
  • Kwanza hadi hapo kazi imemshinda..!
  • Nahisi kuwa ni muongo, kwa sababu ni vigumu kuamini kuwa kampata mteja mmoja tu tangu August...!
  • Ni mzembe kazini, na hivyo hata siku zake zinahesabika..! Labda kazi hiyo anaifanyia dunia nyingine na sio hii...!
  • Yupo hatarini kubeba mzigo wa dhambi usiosameheka milele ya mauaji, na hata asipouwa, basi na malezi ya mwanae yatamshinda tu...!
Baba Mzazi (Mteja)
  • Kwa ulevi wake, na uzembe wake, basi atakuwa na watoto wengi sana...!
  • Hata hivyo siku zake zinahesabika kama kilevi chake hicho anaipatia dunia hii...!
  • Huenda hata kasingiziwa, lakini uzembe wake unamgharimu....!
  • Awe tayari kuwajibika ipasavyo kwa lolote lile...!
Wote wawili (Baba na Mama), wawajibike kwa kuwa wanachokivuna ndicho walichokipanda....!
 
anasema eti hana mpango wa kuzaa kwa sababu hajafikia malengo yake.

kwani kuzaa sio sehemu ya malengo yake?
ana uhakika gani kama hiyo mimba ni ya kwake...alikuwa mke wake?
Nonetheless, simshauri aitoe
 
Hao ndo wanaume.anamwamin vp barmeid?aise mtu unakufa kwa uzembe wako mwenyewe.sasa akilea ataoa?mana asije akamrudshia soko nyuma.na awotch out mana inaweza icwe mimba yke pia.cz c pekee aliepta!
 
Kwa harakaharaka mimi naona yafuatayo;

Kuhusu Mimba (Kiumbe kisicho na hatia)
  • Hakina namna ya kuzuia kuuawa/kutolewa, so kifu hakipo mbali sana naye...!
  • Kutokana na mazingira, na profession ya mamaye, hata babaye hajulikani...!
  • Hata kisipotolewa, na akazaliwa salama, bado maisha yake yatakuwa ya shida kwa kukosa malezi mazuri, na hatimaye kuiga ya wazazi wake...!
Mama Mzazi (Barmaid)
  • Kwanza hadi hapo kazi imemshinda..!
  • Nahisi kuwa ni muongo, kwa sababu ni vigumu kuamini kuwa kampata mteja mmoja tu tangu August...!
  • Ni mzembe kazini, na hivyo hata siku zake zinahesabika..! Labda kazi hiyo anaifanyia dunia nyingine na sio hii...!
  • Yupo hatarini kubeba mzigo wa dhambi usiosameheka milele ya mauaji, na hata asipouwa, basi na malezi ya mwanae yatamshinda tu...!
Baba Mzazi (Mteja)
  • Kwa ulevi wake, na uzembe wake, basi atakuwa na watoto wengi sana...!
  • Hata hivyo siku zake zinahesabika kama kilevi chake hicho anaipatia dunia hii...!
  • Huenda hata kasingiziwa, lakini uzembe wake unamgharimu....!
  • Awe tayari kuwajibika ipasavyo kwa lolote lile...!
Wote wawili (Baba na Mama), wawajibike kwa kuwa wanachokivuna ndicho walichokipanda....!

i never met a genius like u.
 
wewe dawa yako kukunanilii.

Ndo dawa gani hiyo bibie? Na inapatikana wapi? Kwenye maduka ya dawa baridi au dawa moto?

inapatikana loliondo.

Hahahaaa Loliondo kwa babu?

Babu kafulia siku hizi.

Wewe huna kikombe?

babu kafulia kama wewe? Lol! Mi nina kijiko.

Acheni kuchakachua uzi bana. Kama vipi nendeni chit chat huko mkapige stori
 
Baba enock! Nakuaminia sana hasa ktk kutoa ushaur humu jf lkn kwa hilo la kutembea na barmeid nimekuondolea nyota moja ya heshima
Kumbe wakat mwingne ni rahisi sana kutoa ushauri kuliko kujishauri kweli mganga hajigangi!
Huyo siyo baba enock, halafu kwa taarifa yako baba enock na mabaamedi ni kama teja na madawa ya kulevya lol
 
Baba erick, we una mtoto? awe wa nje, au wa ndani?
Kama unaye, basi utakuwa unajua jinsi mtoto anazaliwa na BARAKA zake...yani mwambie mshkaji atumie mbinu safi na chafu, lakini huyo mwanamke azae!
Alishafanya bongeeee la mistake kupiga kavu.
Mungu kamsaidia, hajapata kama hajapat umeme(ambao angeweza upata)...basi huyo MTOTO atayekezaliwa ni zaidi ya nyota njema kwake.
watoto ambao wanatakaga kutolewa,wakiacha wakazaliwa hubeba BARAKA za ajabu,,,ASIKIAE NA AFAHAMU!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom