Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
iga ufe.
Ujasiri huo sina wangu
Hili nalo neno!
nimekupa mchumba...
mwambie sangara neno hilo.
Muone...unatafutwa kule mwenyewe karudi...anataka kuja mpwapwa.
iga ufe.
Hili nalo neno!
mwambie sangara neno hilo.
unataka nin?
Duh! mengine kichekeshono mshikaji ni kijana mdogo tuu umri wa 24 hajawahi oa
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa
watu wanaroho za paka bar-medi unakula kavu!!
kama kapenda na mwanamke kakubali amwoe hapo poa, lakini asimuoe sababu ya mimba atachemka....
ishi.
.
[/B][/COLOR]
alipodo bila condom hakuogopa kufa sasa anaogopa kufa kwa kuoa
Jamani Mbona mshikaji anataka kuaribu kazi ya bar meid, we unafikili kukaa na mimba miezi tisa atakula wapi? Mwambie mshikaji amtoe wasiwasi kwanza ktk hili halafu aone kama ataitoa.
sii mchezo kaka watu washenzi sana,watu wanaroho za paka bar-medi unakula kavu!!
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa
no mshikaji ni kijana mdogo tuu umri wa 24 hajawahi oa
Huu ni upuuzi mtoto mdogo wa miaka 24 anachukua barmaid? Na anamega bila kinga?!
It can't click in my head u knw!
Huyo dogo hajtambui na huyo barmaid anadai hajatimiza malengo yake yapi? Analipwa sh ngap au ni malengo ya kuambukiza wadudu watu kiasi gani?
Kama anamalengo is better auze mchicha kuliko kuwa mhudumu na mwisho wa kazi anaenda kulambwa na watoto wadogo tena bila kinga.
JF naamini wengi we2 humu ni educated then let's smtms b negative to threads posted with heading in dis way.
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa
anasema eti hana mpango wa kuzaa kwa sababu hajafikia malengo yake.